Wakaanga Chips na Kuku Maarufu jijini Dar es salaam

Oyaaa we kijana. Wanaume hatuendekezi chipsi bana. Alah! Kaizer mwongozo kwa kijana hapa tafazali!

:biggrin1: sa nikiwa pub napata whiskey unataka niagize ugali? Apo uko
na totoz pembeni huwezi oda ugali inabidi ule ile kitu inaendana na waliokuzunguka na isitoshe mi mtoto wa mjini :happy:
 
:biggrin1: sa nikiwa pub napata whiskey unataka niagize ugali? Apo uko
na totoz pembeni huwezi oda ugali inabidi ule ile kitu inaendana na waliokuzunguka na isitoshe mi mtoto wa mjini :happy:

Popote ulipo BAGAH unamsoma nduguyo mtotowatown? Kwenye yale mambo yetu si watamcheka watu? Hahah mi simo bana. Ngoja njipigie kongoro langu mtoto wa kiume mie
 
Last edited by a moderator:
Popote ulipo BAGAH unamsoma nduguyo mtotowatown? Kwenye yale mambo yetu si watamcheka watu? Hahah mi simo bana. Ngoja njipigie kongoro langu mtoto wa kiume mie

Asprin,
huyu atapanda nakushuka kama JOGOO...
kujaza mafuta ya transfoma mwilini...siku walipuke buree...
babu siku izi ndo mana unakuta mtoto wakiume FUKO LA MBOLEA HUKOO...LOL...Watoto wa mjini bana.

namm natupia SUPU ya ngamia Babu...karibu.
 
Last edited by a moderator:
:biggrin1: sa nikiwa pub napata whiskey unataka niagize ugali? Apo uko
na totoz pembeni huwezi oda ugali inabidi ule ile kitu inaendana na waliokuzunguka na isitoshe mi mtoto wa mjini :happy:

PUB gonga MDUDU...eeh
tupiamo mishkaki ya wanyama kama TEMBO...
kama kuna BATA MNZINGA gonga...
hapo ndio wiski utaipenda...

ivi chips ndio viazi eeeh?
goodnight mtotowamjini
 
Last edited by a moderator:
PUB gonga MDUDU...eeh
tupiamo mishkaki ya wanyama kama TEMBO...
kama kuna BATA MNZINGA gonga...
hapo ndio wiski utaipenda...

ivi chips ndio viazi eeeh?
goodnight mtotowamjini

Hahahah umemaliza! Anaijua supu ya pweza?
 
Last edited by a moderator:
Next time you just come and ask where is nice Church or Mosque situated place ! Also Jf members they help you a roadmap !

They will never ask you such a question! What they can ask you is a bar and a pusha wa kitaa.
 
PUB gonga MDUDU...eeh
tupiamo mishkaki ya wanyama kama TEMBO...
kama kuna BATA MNZINGA gonga...
hapo ndio wiski utaipenda...

ivi chips ndio viazi eeeh?
goodnight mtotowamjini

:biggrin1: mweleze asprin hajui haya mambo siku atamtoa yule bibie aliyesema anammaindi humu ndani afu atampa ugali na samaki si ataharibu?!!
 
:biggrin1: mweleze asprin hajui haya mambo siku atamtoa yule bibie aliyesema anammaindi humu ndani afu atampa ugali na samaki si ataharibu?!!

mmh!
huyu ndugu sio mwenzetu!
we huoni na uzee huo anamiliki vitoto vibichii...
nasikia hawafiki dk 90 mechi inabidi iahirishwe...babu alivochachamaa...
 
mmh!
huyu ndugu sio mwenzetu!
we huoni na uzee huo anamiliki vitoto vibichii...
nasikia hawafiki dk 90 mechi inabidi iahirishwe...babu alivochachamaa...

:biggrin1::biggrin1: hamna mwanaume kikongwe aisee huyu mazee angekua mambo hayajui totoz za hapa zisingekua zinajipendekeza au kuzimika aisee
 
Shirima - Upanga pande za Shaaban Robert Secondary School

Jamal - Mwananyamala kwa mama Zakaria :baby:
 
barafaa alitakaga niachike mimi!! sitasahau! kaka anapika balaa, na ni toka miaka hiyooooooooooooo, nilikuwa nafuataga utumbo wa kuku kwake wakati nna mimba ya twins, ol the way from sinza everyday! acha kabisaaaaaaaa!

Si ungeendaga Shibam magomeni? Ni karibu na sinza.
Btw Asprin alikuwa anaku drive?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom