Wakaanga Chips na Kuku Maarufu jijini Dar es salaam

Itakuwa wametuwekea Limbwata hao sio bure.
Chipsi tamu kama uroda.
Khaa!!!!

Ha ha ha ha Madame B unavituko wewe kwa kweli kwa Limbwata naanza kukubali
yaani unatoka ofisini badala uwaze kwenda kupika wali/ugali samaki, nyama nk home wewe
mawazo kwenye chips kha!!!

Madam B hiyo red nimecheka mpaka basi
 
Yani acha kbs Dena Amsi
huwa najishangaaga sana,
fikiria....Umetoka kazini,ukapitia kwenye mizunguko yako huku njaa inakuuma,umepita sehemu nyingi za chakula lakini wapi,
huku njaa yaendelea tu,unavumilia mpaka unafika kwenye chipsi ulizozizoea.
Kama sio ugonjwa tuite nini?

Ila yote tisa kumi pale FaceBook Chips-Kinondoni CM,Acha kbs nahs watakuwa wanatuwekea na limbwata kama sio kwenye kachumbari basi wanatuwekea kwenye ukwaju ili tukamatike.
 
Last edited by a moderator:

Ha ha ha ha yaani hiyo kachumbari ndo usiseme aisee dah mate yanadondoka kabisa
 
Halafu mmesahau na hapa ABBAS RESTAURANT kule K'koo. Pale kwa yule sijui Mpemba yule au sijui Mwarabu,atajua mwenyewe.
Hv kwa mtu ambae alishaenda K'koo na hakuwahi kupitia pale kugonga msosi ni nani?
Mshenzi anauza yule balaa,Viti mda wote vimejaa,mpaka mnasubiriana.
ila Wapemba/Waarabu mmh...!!
Tunalishwa vingi (NANUKUU TU)
 
Achaaa!!!
ila mkuu kusema ukweli kuna sehemu wanajua kukaanga chipsi usipime.
Na sisi wanawake ndo tunakamatika kirahisi,na wengine wanapata mabwana humohumo.
Ila sio mimi.
 
Huyu ni mkongwe anachoma nyama since 70" tangu alikua akichoma Babu, akaja Baba sasa wako wajukuu, wanapatika Ilala mtaa wa Moshi na Mwanza pembeni ya Habibu Punja primary sch.

Judgement hyo ya mwanza hebu nielekeze vyema!
 
Last edited by a moderator:
Achaaa!!!
ila mkuu kusema ukweli kuna sehemu wanajua kukaanga chipsi usipime.
Na sisi wanawake ndo tunakamatika kirahisi,na wengine wanapata mabwana humohumo.
Ila sio mimi.

Wanawakamataga wasichana sana na chips kuku acha kabisa aisee
 
Halafu mmesahau na hapa ABBAS RESTAURANT kule K'koo. Pale kwa yule sijui Mpemba yule au sijui Mwarabu,atajua mwenyewe.
Hv kwa mtu ambae alishaenda K'koo na hakuwahi kupitia pale kugonga msosi ni nani?
Mshenzi anauza yule balaa,Viti mda wote vimejaa,mpaka mnasubiriana.
ila Wapemba/Waarabu mmh...!!
Tunalishwa vingi (NANUKUU TU)
Mtoto unapenda kula weye?

Kweli nimeamini mtu mwenye tuombo dogo kwa kula hawezekani.

Ndo maana umekuwa kimbaumbau kama Bi. Nyakomba.
 
Back
Top Bottom