Wajuzi wa haya mambo

Mzee Wa Kale Kabisa

JF-Expert Member
Mar 25, 2018
2,602
4,266
Hii ni note 5 imeanza hilo tatizo kama week mbili sasa niki restart au kuiwasha kawaida huwa inaganda hapo kama dak 15 hivi then inawaka kawaida... msaada kwa anaejua shida ni nini
 
Attachments

  • IMG-20180512-WA0001.jpg
    IMG-20180512-WA0001.jpg
    35.9 KB · Views: 40
wewr mzee wa kale kabisa hayo mambo ya mkorea na mchina ungewaachia vijana wa sasa kabisa.

wewe ungekua zako na BlackBerry hayo yasingekukuta
 
Hii ni note 5 imeanza hilo tatizo kama week mbili sasa niki restart au kuiwasha kawaida huwa inaganda hapo kama dak 15 hivi then inawaka kawaida... msaada kwa anaejua shida ni nini
probably cache zinajifuta hivyo kupelekea simu ikiwaka inaanza upya kuload apps, hali hii hutokea simu inapojizima ghafla kwa kuisha charge, ama battery lisilo zuri ama sababu ifananiayo.

ikiwa asilimia kama 90 ukizima simu na kuwasha inaleta hio msg?
 
Ni hivyo hivyo tu hataka ikiwa full mkuu, kuna sehemu nilisoma ila ndio sikuweza kuelewa unaomyesha kama kuna app inabdi itoke humu
 
Hii ni note 5 imeanza hilo tatizo kama week mbili sasa niki restart au kuiwasha kawaida huwa inaganda hapo kama dak 15 hivi then inawaka kawaida... msaada kwa anaejua shida ni nini
Press power button na voice down kwa pamoja mpaka izime kisha itajiwasha yenyewe ama utafuata maelezo yatakayofuata
Infinix zipo za aina 2 copy na OG, copy zinasumbua na kwakuwa ni toleo geni watu bado hawajajua kutofautisha
Mara nyingi OG maandishi yake ya Infinix yako engraved, wakati copy ni ya kuprint ama kubandika
 
Sawa mkuu ngoja nijaribu japo nimejisahau kuweka jina kamili hii ni samsung note 5 sio infinix
 
Back
Top Bottom