Wajuzi mniambie hii kitu inahusika na nini kwenye subwoofer

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
May 3, 2020
2,416
3,911
Bwana Awe nanyi, Awe pia nami

Wakuu swali langu ni subwoofer kwa chini kuna sehemu za volume na chini kabisa kuna MIC 1 MIC 2 Sasa zina husika ni nini pale
 
Back
Top Bottom