Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,230
- 6,471
Halo wadau wa JF.
Itakumbukwa mwezi November 2017 wakati Jeshi likimwondoa Rais Mugabe wa Zimbabwe ktk mapinduzi baridi, Rais Museven aling'aka kushutumu hatua hiyo. Kilichomfanya Rais huyo wa Uganda kulaumu hatua hiyo ya jeshi la Zimbabwe, ni kuwa naye ametawala muda mrefu na kuhofu hali hiyo kumkumba.
Sasa Leo Uganda inatimiza miaka 57 ya Uhuru na amemualika rais aliyemwondoa swahiba wake madarakani, Emerson Munangagwa. Pia amemtunuku Tuzo ya heshima mbali na kuwa mgeni rasmi. Sherehe za kukata na shoka zimefanyika mashariki mwa Uganda na sio Kampala.
Je Museveni ana agenda ya siri na Munangagwa? Je Rais Museven kuna kitu amepanga kumfanyia Munangagwa kwa mualiko huu? Tusubiri tuone nini kitamkumba Rais huyo wa Zimbabwe ikiwa kuna hadaa au ni upendo wa kweli.
Yangu macho Harare baada ya Rais kurejea Nyumbani.