Wajuvi na wafuatiliaji wa mambo washikwa na butwaa Emerson Munangagwa kuwa mgeni rasmi miaka 57 ya Uhuru wa Uganda.

Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
6,218
6,455
Halo wadau wa JF.

Itakumbukwa mwezi November 2017 wakati Jeshi likimwondoa Rais Mugabe wa Zimbabwe ktk mapinduzi baridi, Rais Museven aling'aka kushutumu hatua hiyo. Kilichomfanya Rais huyo wa Uganda kulaumu hatua hiyo ya jeshi la Zimbabwe, ni kuwa naye ametawala muda mrefu na kuhofu hali hiyo kumkumba.

Sasa Leo Uganda inatimiza miaka 57 ya Uhuru na amemualika rais aliyemwondoa swahiba wake madarakani, Emerson Munangagwa. Pia amemtunuku Tuzo ya heshima mbali na kuwa mgeni rasmi. Sherehe za kukata na shoka zimefanyika mashariki mwa Uganda na sio Kampala.

Je Museveni ana agenda ya siri na Munangagwa? Je Rais Museven kuna kitu amepanga kumfanyia Munangagwa kwa mualiko huu? Tusubiri tuone nini kitamkumba Rais huyo wa Zimbabwe ikiwa kuna hadaa au ni upendo wa kweli.

Yangu macho Harare baada ya Rais kurejea Nyumbani.
 
Mnanangwa na kaka yake Museveni, General Salehe, walipigana vita ya msituni enzi za ukombozi wa kusini, akiwa na yule mwanzilishi wa RPF aliyeuwawa. Naamini wanalink inayofanana
 
Walikuwa wakipigania wakiwa eneo gani?
 
Historia ni pana, sikulijua hili
Sisi waafrika hatuandiki haya mambo. Ni ngumu kujulikana. Hatujui hata sisi tulitoa mchango kiasi gani kwenye mstari wa mbele maana bado ni kitendawili.
One thing foe sure, bila urafiki wa Rwigema na hawa kina Museveni, RPF ingelikuwa ni ndoto
 
Kifo cha Rwigyema kinaniuma mpaka, huyu kagame nadhani hata tusingemjua
 
Sisi waafrika hatuandiki haya mambo. Ni ngumu kujulikana. Hatujui hata sisi tulitoa mchango kiasi gani kwenye mstari wa mbele maana bado ni kitendawili.
One thing foe sure, bila urafiki wa Rwigema na hawa kina Museveni, RPF ingelikuwa ni ndoto
Na bila Rwigema,PK na wanyalu wenzao M7 asingeingia madarakani kamwe,NRA iliundwa na wanyalu kwa 40%.
 
Si kweli. Truth be told. Nyerere was fond of Museveni. Museveni organized for his brother who came with a friend by the name Rwigema. Yes they had their attachment in Uganda after forced out of Rwanda.
PK ni spy katili. Alimsaidia Museveni. Na Museveni ndio alimshauri Rwigema asimuache nyuma PK. And we all know what transpired. The rest is history.
Hawa jamaa ni watu makatili sana aisee
 
Yaani hapo hakuna unaloweza kunieleza hata moja,hao nawajua historia yao na kila kitu kama kiganja cha mkono wangu.

Inaonekana we hujui hata M7&Rwigema ni marafiki wa tangu utotoni huko kwny makambi ya wakimbizi,eti M7 alimshawish Rwigema asimuache nyuma PK hahah.

Unadhani kwanini Rwigema alikua alikua Army Commander from 1983-1986& deputy minister of the defence na Kagame alikua Chief Military inteligence wa Uganda au unadhani M7 aliwapenda tu bila sababu ya msingi?

Possibly hujui kwamba More than half of the 27 NRA pioneer fighters who started the liberation war and over 40% of the Museveni’s NRA soldiers that captured Kampala in 1986 were Rwandans.

PK&Rwigema na wanyalu wengine ndio wamemfikisha M7 pale na hata yeye anajua hilo.
 
Rwigema alikua mtu poa sana na hata M7 alijua kabisa ikitokea Rwigema amekua Rais wa Rwanda ingekua rahisi kwa M7 kuifanya Rwanda kama koloni lake na angekua anatawala nchi mbili at per,kitu ambacho anajua hawezi kukifanya kwa Kagame maana yule ni hardliner.

Na PK alimuonyesha mapema kabisa M7 kwamba kumpelekesha hataweza kwny Kisangani war,pale ndo M7 alielewa vzr ana dili na mtu wa aina gani.

Rwigema wanasema kosa lake ni kuwa mtu mwema sana. Aliwapenda wale alioteseka nao uhamishoni. Akasahau wengine wanachotaka ni madaraka tu
 
Yaani hapo hakuna unaloweza kunieleza hata moja,hao nawajua historia yao na kila kitu kama kiganja cha mkono wangu.

Inaonekana we hujui hata M7&Rwigema ni marafiki wa tangu utotoni huko kwny makambi ya wakimbizi,eti M7 alimshawish Rwigema asimuache nyuma PK hahah.

Unadhani kwanini Rwigema alikua alikua Army Commander from 1983-1986& deputy minister of the defence na Kagame alikua Chief Military inteligence wa Uganda au unadhani M7 aliwapenda tu bila sababu ya msingi?

Possibly hujui kwamba More than half of the 27 NRA pioneer fighters who started the liberation war and over 40% of the Museveni’s NRA soldiers that captured Kampala in 1986 were Rwandans.

PK&Rwigema na wanyalu wengine ndio wamemfikisha M7 pale na hata yeye anajua hilo.

Don't talk about 1986. Everything by then was up and running. All these happened in 70s.
Inategemea unajua nini. Kuna mambo mengi nina hakika huyajui kuhusu Museveni, General Salehe na Fred Rwigema.
Kuwa na 40% rwandees in Museveni 's army was a strategy. Kagame was a chief spy in Museveni 's army. Hata yeye came to Tanzania and got trained here.
 
Rwigema alikua mtu poa sana na hata M7 alijua kabisa ikitokea Rwigema amekua Rais wa Rwanda ingekua rahisi kwa M7 kuifanya Rwanda kama koloni lake na angekua anatawala nchi mbili at per,kitu ambacho anajua hawezi kukifanya kwa Kagame maana yule ni hardliner.

Na PK alimuonyesha mapema kabisa M7 kwamba kumpelekesha hataweza kwny Kisangani war,pale ndo M7 alielewa vzr ana dili na mtu wa aina gani.

Ndio amuue rafiki yake? You need to read alot more kwenye vitabu na makaratasi ya history. Unaongea kwa zile story za kusimuliana zaidi kuliko nini kilikuwa kinaendelea nyuma ya pazia
 
Kwamba PK alimuua Rwigema na wewe ukaamini,hahah.

Kitu gani hapo ni cha kusimuliana,kwamba Kisangani hawakuchapana?

Kuwajua wakina M7 na historia yao ya vita soma hata kitabu cha Combatants: A memoir of the Bush War and press in Uganda kikufungue macho kidogo,acha kusoma vi-blog uchwara.
 
Don't talk about 1986. Everything by then was up and running. All these happened in 70s.
Inategemea unajua nini. Kuna mambo mengi nina hakika huyajui kuhusu Museveni, General Salehe na Fred Rwigema.
Kuwa na 40% rwandees in Museveni 's army was a strategy. Kagame was a chief spy in Museveni 's army. Hata yeye came to Tanzania and got trained here.

Hahah kwamba kulikua hakuna waganda wengine kwny NRA wakuweza kushika hizo nafasi mpk wapewe nafasi hizo wageni(PK&Rwigema) sio?Aisee kumbe M7 ana huruma sana aisee hahah.

Ilikuaje mwaka 1983 Gen. Elly Tumwine alizuga anaenda Nairobi kutibiwa macho wkt vita inaendelea ikabidi Rwigema achukue mikoba yake na akaongoza vita mpk 1986 vita imeisha ndio huyo Gen.Tumwine akarudi eti amepona macho,hahah

Hayo ambayo siyajui khs M7,Salehe na Rwigema ungeyaweka hapa yajulikane sasa.

Wewe ulikua unakataa kwamba NRA haikuundwa na hao wanyalu by 40%,sasa hivi unasema tena it was a strategy,hahah mzee baba acha kutanga tanga.
 
Lol....unaongea huna facts. Unataka kushinda tu. Kama hujui kitu kaa kimya. Usilete hadithi zetu za vijiweni
 
Kwamba PK alimuua Rwigema na wewe ukaamini,hahah.

Kitu gani hapo ni cha kusimuliana,kwamba Kisangani hawakuchapana?

Kuwajua wakina M7 na historia yao ya vita soma hata kitabu cha Combatants: A memoir of the Bush War and press in Uganda kikufungue macho kidogo,acha kusoma vi-blog uchwara.

Hii mada ya kwanini Mnanangwa amepewa the highest civilian order ya Uganda. Hayo mambo yako ya banyamulenge anzisha mada yako.
Kule kwenu kuna majitu makatili sana hamuoni shida kuuana uana. That is your problem.
Ninachoweza kuchangia katika mada hii ni kwa General Salehe na Gen. Rwigema walikuwa marafiki wakubwa na walijua wanachofanya. Period
 
Lol....unaongea huna facts. Unataka kushinda tu. Kama hujui kitu kaa kimya. Usilete hadithi zetu za vijiweni
Hahah umezoea kudanganya vijeba wenzako,hamna kitu unajua zaidi ya vi-story vya kuokoteza.
 
Back
Top Bottom