Nikiwa kwenye umachinga wangu hapa Dododoma nimekutana na sura nyingi za wajumbe wa bunge maalum la KATIBA wengi wao ni wale wa kundi la UKAWA a.k.a tatu chafu. Wengi wa wajumbe hawa ni wabunge wa CHADEMA, NCCR, CUF na viti maalum vyao. Sio kama hawaruhusiwi kutembelea Dodoma lakini kipindi hiki uwepo wao unatia mashaka na zile ndoto za kuuvunja muungano zinaanza kufifia. Najua wengi wanajiandaa na utetezi wa tumerudi kuitikia wito wa jamii na viongozi wa dini lakini lazima watumbue kurudi kwao kunavipeleka vyama vyao kubaya hasa hiki kinachokufa kwa kasi. Ni hayo tu na wanaotaka picha za hapo wabunge wekeni namba zenu hapa nitawatumia kwa wasapu au kuziona nifolo katika INSTAGRAMU #NDUKA
Shemeji yake nimemuona lakini.Hadi Lema yupo dodoma?
Hawana pakwenda ilibidi waje tu watakwenda wapi.
Nikiwa kwenye umachinga wangu hapa Dododoma nimekutana na sura nyingi za wajumbe wa bunge maalum la KATIBA wengi wao ni wale wa kundi la UKAWA a.k.a tatu chafu. Wengi wa wajumbe hawa ni wabunge wa CHADEMA, NCCR, CUF na viti maalum vyao. Sio kama hawaruhusiwi kutembelea Dodoma lakini kipindi hiki uwepo wao unatia mashaka na zile ndoto za kuuvunja muungano zinaanza kufifia. Najua wengi wanajiandaa na utetezi wa tumerudi kuitikia wito wa jamii na viongozi wa dini lakini lazima watumbue kurudi kwao kunavipeleka vyama vyao kubaya hasa hiki kinachokufa kwa kasi. Ni hayo tu na wanaotaka picha za hapo wabunge wekeni namba zenu hapa nitawatumia kwa wasapu au kuziona nifolo katika INSTAGRAMU #NDUKA
Kama wapo Dodoma tatizo liko wapi! Nitashangaa ukisema wamejisajili kwenye mkutano wa BMK lakini kuonekana kwao Dodoma hakunipi shaka. Shujaa wa katiba ya wananchi atajukikana tu mwenye njaa aende tu.
mkuu asikudanganye mtu sio wito wa wananchi bali ni njaa na tamaa ya laki 3 kwa siku na si kingine!Mpaka Jana wamerudi 6 tutegemee zaidi wiki ijayo, wameitikia wito wa wananchi kuwaomba warudi bungeni.
Shemeji yake nimemuona lakini.