Gazeti la Mwananchi leo limeripoti masikitiko makubwa na mshituko alioupata Katibu Mkuu wa CDM Wilberd Slaa kususiwa na zaidi ya nusu ya wajumbe wa Mkutano Mkuu Jimbo la Kinondoni ktk mkutano mkuu.
Mpaka sasa haijulikani sababu ya ususiaji huo ila wachunguzi na watafiti wa masuala ya siasa wanadai kuwa huenda hiyo ikawa ni dalili ya wanachama wa CDM kupoteza imani na Katibu wao ambae ushawishi wake kwa chama chao unazidi kupungua!
Habari kamili kuhusu mgomo huo gonga hapa:
Mahudhurio ya wajumbe yamkatisha yamaa Dk Slaa - Siasa - mwananchi.co.tz
Ufanyaji wa vikao vya ndani vya chama siku za kazi nao unachangia mahudhurio finyu ya wajumbe. Maana inajulikana wajumbe wengi si waajirwa wa Chama. Wengi wamejiajira na kuajiriwa. Ni vyema hii mikutano mikubwa cha chama mfano ya ngazi za Kata, Wilaya, Mkoa, etc ikawa inafanyika weekend.
Nakala: Dr. Willbroad Peter Slaa, etc
- OHH! MY GOD! TENA HIZI HABARI ZIMEANDIKWA NA GAZETI LENU WENYEWE CHADEMA, LINGEKWUA LA CCM MNGESEMA MANENO YENU YALE, SO INA MAANA HUU NI UKWELI KWAMBA HATA MKUTANO WA CHAMA HAMUWEZI KUFANYA HAPA DAR, LAKINI KILA SIKU KUKIMBILIA KUANIZSHA MATAWI NJE YA NCHI TUKIWAAMBIA MNAKUWA MBOGO NA MATUSI MAZITO MAZITO, SASA UNAONA MFICHA MARADHI?
- TUNAWAAMBIA JIPANGENI TENA BADO MKO NYUMA SANA HAMSIKII, HALAFU ETI N DIO MNASEMA HUYU SLAA AINGIE MDAHALO NA KATIBU MKUU WA CHAMA TAWALA CCM KAMANDA KINANA? PHEWWWWWWW!!, KAMA HATA MDAHALO NA CHAMA CHAKE HAWEZI ITAKUWA CCM?
Le Mutuz!!
Kuna tatizo la mawasiliano kati ya makao makuu na viongoz wa chini
Gazeti la Mwananchi leo limeripoti masikitiko makubwa na mshituko alioupata Katibu Mkuu wa CDM Wilberd Slaa kususiwa na zaidi ya nusu ya wajumbe wa Mkutano Mkuu Jimbo la Kinondoni ktk mkutano mkuu.
Mpaka sasa haijulikani sababu ya ususiaji huo ila wachunguzi na watafiti wa masuala ya siasa wanadai kuwa huenda hiyo ikawa ni dalili ya wanachama wa CDM kupoteza imani na Katibu wao ambae ushawishi wake kwa chama chao unazidi kupungua!
Habari kamili kuhusu mgomo huo gonga hapa:
Mahudhurio ya wajumbe yamkatisha yamaa Dk Slaa - Siasa - mwananchi.co.tz
Jamani baada ya JK kumsifu sana Mwigulu na Nape kwa kuchana upinzani kwa hoja za mezani, nadhani hulka hii imechukua kasi mpaka kwa wafuasi wengine- OHH! MY GOD! TENA HIZI HABARI ZIMEANDIKWA NA GAZETI LENU WENYEWE CHADEMA, LINGEKWUA LA CCM MNGESEMA MANENO YENU YALE, SO INA MAANA HUU NI UKWELI KWAMBA HATA MKUTANO WA CHAMA HAMUWEZI KUFANYA HAPA DAR, LAKINI KILA SIKU KUKIMBILIA KUANIZSHA MATAWI NJE YA NCHI TUKIWAAMBIA MNAKUWA MBOGO NA MATUSI MAZITO MAZITO, SASA UNAONA MFICHA MARADHI?
- TUNAWAAMBIA JIPANGENI TENA BADO MKO NYUMA SANA HAMSIKII, HALAFU ETI N DIO MNASEMA HUYU SLAA AINGIE MDAHALO NA KATIBU MKUU WA CHAMA TAWALA CCM KAMANDA KINANA? PHEWWWWWWW!!, KAMA HATA MDAHALO NA CHAMA CHAKE HAWEZI ITAKUWA CCM?
Le Mutuz!!
- Wacha hizi unafikiri Kiongozi gani wa chini atakubali kuja kwenye mkutano na Slaa ambaye analipwa Millioni 12 kwa mwezi bila sababu huku wao hawalipwi hata senti moja? Ni common sense zaidi tu, kwamba Chadema punguzeni matumizi makubwa sana mliyonayo ya kwenda kufungua matawi nje, badala ya kujiimarisha hapa nyumbani!!
Le Mutuz!
Gazeti la Mwananchi leo limeripoti masikitiko makubwa na mshituko alioupata Katibu Mkuu wa CDM Wilberd Slaa kususiwa na zaidi ya nusu ya wajumbe wa Mkutano Mkuu Jimbo la Kinondoni ktk mkutano mkuu.
Mpaka sasa haijulikani sababu ya ususiaji huo ila wachunguzi na watafiti wa masuala ya siasa wanadai kuwa huenda hiyo ikawa ni dalili ya wanachama wa CDM kupoteza imani na Katibu wao ambae ushawishi wake kwa chama chao unazidi kupungua!
Habari kamili kuhusu mgomo huo gonga hapa:
Mahudhurio ya wajumbe yamkatisha yamaa Dk Slaa - Siasa - mwananchi.co.tz
- Wacha hizi unafikiri Kiongozi gani wa chini atakubali kuja kwenye mkutano na Slaa ambaye analipwa Millioni 12 kwa mwezi bila sababu huku wao hawalipwi hata senti moja? Ni common sense zaidi tu, kwamba Chadema punguzeni matumizi makubwa sana mliyonayo ya kwenda kufungua matawi nje, badala ya kujiimarisha hapa nyumbani!!
Le Mutuz!
Kiranja acha uwongo le mutuz aana watoto wawili wakwanza wa kike ni binti mkubwa tu na mdogo wake ni wakiume