Wajumbe Mkutano Mkuu Chadema Wasakwa kwa simu!

bwahahahahaaaaaaaaaa:bowl::becky: Slaaa dokita wa ukweee kaachwa solemba!! Chama kinasambaratika kile hakifiki 2015
 
- Wacha hizi unafikiri Kiongozi gani wa chini atakubali kuja kwenye mkutano na Slaa ambaye analipwa Millioni 12 kwa mwezi bila sababu huku wao hawalipwi hata senti moja? Ni common sense zaidi tu, kwamba Chadema punguzeni matumizi makubwa sana mliyonayo ya kwenda kufungua matawi nje, badala ya kujiimarisha hapa nyumbani!!

Le Mutuz!

Uwongo huu wa huyu mzee ndio umenifanya nikaandika kuhusu yeye na maisha yake. Dr.Slaa halipwi na hajawahi kulipwa 12 milioni kwa mwezi.......huyu ni mtu muongo na kwa kuwa hajawahi hata kuwa kiongozi wafamilia leo anajifanya anaweza kuongoza wenzake.... Huyu jamaa ni Chakaramu wa kutupwa..ll.llll
 
Soma alichoandika kuhusu Dr.Slaa, huyu niko naye hapa leaders club, hao watoto muulizeni aliwazaa akiwa tz ama ughaibuni? Huyu mtu nimefuatilia faili lake na ninalo tangu akimaluza kidato cha nne, hapa hakuna kumwonea mtu huruma kama hana adabu, na mimi ni kati ya watu ambao sipendi character assasination ila inapobidi nawajibika ili ajue anafahamika wasifu wake, niliwahi kumwandika Nnape pia........
usitake kutisha watu wewe....acha ,mambo ya kushambulia wenzio,, changia hoja kwa mada husika
 
bwahahahahaaaaaaaaaa:bowl::becky: Slaaa dokita wa ukweee kaachwa solemba!! Chama kinasambaratika kile hakifiki 2015

Huo ni uongo nafikiri kuna haja wale viongozi wa kinondoni aliokutan nao watoe majibu hapa, na pia ukitembelea mitikadi blog utaona picha zamkutano n utaona uongo wa gazeti la Mwananchi...........hili lina ajenda yake so haliaminiki sana nyakati hizi.........
 
Uwongo huu wa huyu mzee ndio umenifanya nikaandika kuhusu yeye na maisha yake. Dr.Slaa halipwi na hajawahi kulipwa 12 milioni kwa mwezi.......huyu ni mtu muongo na kwa kuwa hajawahi hata kuwa kiongozi wafamilia leo anajifanya anaweza kuongoza wenzake.... Huyu jamaa ni Chakaramu wa kutupwa..ll.llll

wee kweli humjui Le Mutuz
 
usitake kutisha watu wewe....acha ,mambo ya kushambulia wenzio,, changia hoja kwa mada husika

Sitishi , niaujua ukweli kuhusu huyu mzee aliyezamia meli na kwenda ughaibuni, nimesema nilikua naye hapa leaders club , namjua ila hanijuihuku vizuri , so he has to becarefull......

Nitasema siku moja hadi mambo ya Hotel iliyopo Australia......naishia hapa namsubiri aje kujibu hapa then will tell him ........
 
Kiranja,

Tushambuliane wenyewe kwa wenyewe. Haya ya kuingiza wake zetu na watoto hapa tuyaache.

Ni kweli ana watoto wawili na wengi tu hapa tumeshawaona maana aliwaweka kama sikosei mwenyewe hapa JF.

Angalia thread zake za mwanzo kabisa waweza kuuona huu uzi. Tujikite kwenye CHADEMA vs CCM. Maswala binafsi tuyaache maana kama mtu unaacha hoja husika na kuingiza mambo binafsi, basi unakuwa sawa na Nape/Mwiguru/Wassira/Makamba Baba na wengine wengi.

mkuu @skonge hebu acha wampe za uso kwan hata yy ni m2 wa siasa za mitaroni.
 
Mbaya zaidi ni division 4.30 almost 0 bwana kiranja na kwa umri wake na kajiheshima ka wazazi wake angetakiwa a think bigger embu ona alivoandika kama teenage

By W. J. Malecela
- Wacha hizi unafikiri Kiongozi gani wa chini atakubali kuja kwenye mkutano na Slaa ambaye analipwa Millioni 12 kwa mwezi bila sababu huku wao hawalipwi hata senti moja? Ni common sense zaidi tu, kwamba Chadema punguzeni matumizi makubwa sana mliyonayo ya kwenda kufungua matawi nje, badala ya kujiimarisha hapa nyumbani!!

Le Mutuz! FAKE mutuz!

Huyu Mtoto wa Malecela , ambaye hana kazi anayoifanya dar, hana uwezo wakujikimu baada ya kupigwa ban Ulaya sasa anazeeka vibaya , kwani mtu wa umri wake hawezi kufanya haya afanyayo, huyu ana miaka 52 na mpaka sasa hana hata familia anayoweza kuilea , hana mke wala hajawa na mtoto hata wa kusingiziwa . Kama angekuwa na matatizoyakiafya ningekuwa nimemwelewa , ila kwa matendo yake ya kutembea na warembo wa dar kila kona ,kama ambavyo anafanya sasa hapa leaders club, niko hapa na namuona akipanga kwenda club Bills kushiriki miaka 20 ya club hiyo , asingekuwa anafanya.

Achukue hatua walau awe na heshima kwa jamii kwa mujibu wa mila na desturi za waafrika , la sivyo ataumbuka vibaya sana kwanI kashawekewa mitegomingi ya kumfuatilia
 
Mbaya zaidi ni division 4.30 almost 0 bwana kiranja na kwa umri wake na kajiheshima ka wazazi wake angetakiwa a think bigger embu ona alivoandika kama teenage

By W. J. Malecela
- Wacha hizi unafikiri Kiongozi gani wa chini atakubali kuja kwenye mkutano na Slaa ambaye analipwa Millioni 12 kwa mwezi bila sababu huku wao hawalipwi hata senti moja? Ni common sense zaidi tu, kwamba Chadema punguzeni matumizi makubwa sana mliyonayo ya kwenda kufungua matawi nje, badala ya kujiimarisha hapa nyumbani!!

Le Mutuz! FAKE mutuz!

Ninamsubiri aje hapa, namshauri aongee na mzee wake kuhusu hoteli ya Australia , kwani kwakiasi fulani mimi ninamheshimu mzee wake aliwahi kunisaidia wakati akiwa serikalini , kabla hajakurupuka aongee naye naaminiatapata ushauri murua kuhusiana na baadhi ya mambo. Mzee wa 50+ yrs anapaswa kuwa na hekima na sio kama anavyofanya,

Invisible anasema zuia upumbavu wako na sio hekima yako.....l. Its a very strong message kwa wazee wa umri wake.....he has to watch out........
 
So, unataka a watch out nini sasa? yaani asitoe maoni yake humu au?
 
Ina maana asingelikuwa na Baba/mama Mwana siasa na pia asiwe na Mke/watoto basi mngelikosa cha kumshambulia?

Mie naona kama ni udhaifu wa mshambuliaji. Nikitaka kumshambulia kwa mtu anayejiweka wazi kwenye mitandao mbona ni rahisi sana? Sasa kushambulia watoto na mke hapa, mie naona hampishani sana na yule Dhaifu wa Mnyika.

mkuu @skonge hebu acha wampe za uso kwan hata yy ni m2 wa siasa za mitaroni.
 
Ina maana asingelikuwa na Baba/mama Mwana siasa na pia asiwe na Mke/watoto basi mngelikosa cha kumshambulia?

Mie naona kama ni udhaifu wa mshambuliaji. Nikitaka kumshambulia kwa mtu anayejiweka wazi kwenye mitandao mbona ni rahisi sana? Sasa kushambulia watoto na mke hapa, mie naona hampishani sana na yule Dhaifu wa Mnyika.

The old man has crossed the red line ............he is very good in character assasination..... He has to learn that this group has some people who know him more than he can think........suala la wazazi wake na maisha yake kama hataki yawe public adiwe na tabia ya kushambulia wazazi wa wenzie......yeye kushambulua wazazi wa wenzie ruksa ila wazazi wake kushambuliwa ni mkuki kwa Nguruwe.........
 
So, unataka a watch out nini sasa? yaani asitoe maoni yake humu au?

Huyu mzee anapaswa kujifunza kuwa kwa mila za Kiafrika ukiwa na umri kama wake jamii inategemea kupata chembe ya busara na sio kama anavyoandika kila uchao .....akiendelea atavuliwa nguo hadharani.....
 
mpeni za uso mwehu huyo...! ningekuwa karibu naye ningemshika kalio ili nimalize hasira zangu juu yake.
 
Sitishi , niaujua ukweli kuhusu huyu mzee aliyezamia meli na kwenda ughaibuni, nimesema nilikua naye hapa leaders club , namjua ila hanijuihuku vizuri , so he has to becarefull......

Nitasema siku moja hadi mambo ya Hotel iliyopo Australia......naishia hapa namsubiri aje kujibu hapa then will tell him ........

Hahahaa nipm iyo story mkuu, I don't know the guy ila si ndo uyo mtoto wa john malecela? u know nina uncle angu anamfaamu sana jamaa,ofcouse aliwahi kunipa mchapo flan kuhusu vijana wa huyu mzee..mmojawapo is this guy..ana mikasa sana,kurudi bongo sio amependa kuna mkasa aliniambia akataja na habari ya hotel but ninaanza kuamini ulivyopost! But any way don't publicize it sio hekma pia,you can pm him tuu hahahaa
 
Chadema bado chama ni kichanga sana..those are just up and downs tu I believe na pia siamini because nimemuuliza mmoja ya waliohudhuria yeye mwenyewe anashangaa hiyo habari. Ila iyo bendera ya chadema haifananii kuwekwa ikulu! Ni mbayaa.
 
Uwongo huu wa huyu mzee ndio umenifanya nikaandika kuhusu yeye na maisha yake. Dr.Slaa halipwi na hajawahi kulipwa 12 milioni kwa mwezi.......huyu ni mtu muongo na kwa kuwa hajawahi hata kuwa kiongozi wafamilia leo anajifanya anaweza kuongoza wenzake.... Huyu jamaa ni Chakaramu wa kutupwa..ll.llll

tusaidie kuweka nakala ya Hati ya mshahara wa Slaa tujue kati yako na Le mutuz nani ni CEO wa kiwanda cha kuzalisha FIX!
 
...kuna hoja nyingine ni zaidi ya upuuzi,yaani katibu kuwatafuta wajumbe wake kwa njia ya simu nayo ni habari kweli?...kama huku ndo kufilisika kwa hoja basi mko maututi kabisa...sitoshangaa siku moja mkaleta uzi hapa "SLAA AKOJOA CHONI"...

Hehe kubaliana na ukweli tu kijana...!!!haiwezekani Katibu afike katika kikao wajumbe zaid ya nusu hawapo na halafu inafika hadi mpaka wapigiwe simu,lazima ipo namna tu...
Icho chama ama genge?
 
Huo ni uongo nafikiri kuna haja wale viongozi wa kinondoni aliokutan nao watoe majibu hapa, na pia ukitembelea mitikadi blog utaona picha zamkutano n utaona uongo wa gazeti la Mwananchi...........hili lina ajenda yake so haliaminiki sana nyakati hizi.........

Musipindishe ukweli bro CDM chama cha promo tu,sasa nyie mutakuwa hamupendi kila kitu kwa sababu ya CDM tu si mutapata uchizi hio
 
- Wacha hizi unafikiri Kiongozi gani wa chini atakubali kuja kwenye mkutano na Slaa ambaye analipwa Millioni 12 kwa mwezi bila sababu huku wao hawalipwi hata senti moja? Ni common sense zaidi tu, kwamba Chadema punguzeni matumizi makubwa sana mliyonayo ya kwenda kufungua matawi nje, badala ya kujiimarisha hapa nyumbani!!

Le Mutuz!

Yaaani mzee malecela hana mtoto..we mbona unapitwa ufahamu mpaka na dada zako akina mwere!!au wewe goli la mkono?
 
Back
Top Bottom