Wajumbe Mkutano Mkuu Chadema Wasakwa kwa simu!

K

Kadogoo

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2007
Messages
2,072
Likes
8
Points
135
K

Kadogoo

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2007
2,072 8 135
Gazeti la Mwananchi leo limeripoti masikitiko makubwa na mshituko alioupata Katibu Mkuu wa CDM Wilberd Slaa kususiwa na zaidi ya nusu ya wajumbe wa Mkutano Mkuu Jimbo la Kinondoni ktk mkutano mkuu.
Mpaka sasa haijulikani sababu ya ususiaji huo ila wachunguzi na watafiti wa masuala ya siasa wanadai kuwa huenda hiyo ikawa ni dalili ya wanachama wa CDM kupoteza imani na Katibu wao ambae ushawishi wake kwa chama chao unazidi kupungua!

Habari kamili kuhusu mgomo huo gonga hapa:

Mahudhurio ya wajumbe yamkatisha yamaa Dk Slaa - Siasa - mwananchi.co.tz
 
Z

Zimamoto

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2012
Messages
464
Likes
4
Points
35
Z

Zimamoto

JF-Expert Member
Joined Mar 28, 2012
464 4 35
Kuanzia CCM mpaka upinzani sioni mkombozi wa Tanzania. Tusubiri muujiza, vinginevyo tumekwisha.
 
ojoromong'o

ojoromong'o

Member
Joined
Nov 6, 2012
Messages
91
Likes
0
Points
0
ojoromong'o

ojoromong'o

Member
Joined Nov 6, 2012
91 0 0
...kuna hoja nyingine ni zaidi ya upuuzi,yaani katibu kuwatafuta wajumbe wake kwa njia ya simu nayo ni habari kweli?...kama huku ndo kufilisika kwa hoja basi mko mahututi kabisa...sitoshangaa siku moja mkaleta uzi hapa "SLAA AKOJOA CHOONI"...
 
Kurunzi

Kurunzi

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2009
Messages
4,470
Likes
802
Points
280
Age
39
Kurunzi

Kurunzi

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2009
4,470 802 280
Swali ni je wajumbe hao walipata taarifa ya maanduishi au kwasimu kuwa kutakuwa na mkutano? baada ya hapo tutajua tatizo liko wapi.
 
DALLAI LAMA

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2012
Messages
8,614
Likes
408
Points
180
Age
37
DALLAI LAMA

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Joined Jan 31, 2012
8,614 408 180
Hujaeleweka.,pengine Dr slaa alienda pale ghafla kama kawaida ya kiongozi wa watu.
 
TUMBIRI

TUMBIRI

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2011
Messages
1,934
Likes
13
Points
0
Age
20
TUMBIRI

TUMBIRI

JF-Expert Member
Joined May 7, 2011
1,934 13 0
Ufanyaji wa vikao vya ndani vya chama siku za kazi nao unachangia mahudhurio finyu ya wajumbe. Maana inajulikana wajumbe wengi si waajirwa wa Chama. Wengi wamejiajira na kuajiriwa. Ni vyema hii mikutano mikubwa cha chama mfano ya ngazi za Kata, Wilaya, Mkoa, etc ikawa inafanyika weekend.

Nakala: Dr. Willbroad Peter Slaa, etc
 
M

Magesi

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2012
Messages
2,589
Likes
2
Points
0
Age
35
M

Magesi

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2012
2,589 2 0
Kuna tatizo la mawasiliano kati ya makao makuu na viongoz wa chini
 
W. J. Malecela

W. J. Malecela

Tanzanite Member
Joined
Mar 15, 2009
Messages
14,056
Likes
3,423
Points
280
W. J. Malecela

W. J. Malecela

Tanzanite Member
Joined Mar 15, 2009
14,056 3,423 280
Gazeti la Mwananchi leo limeripoti masikitiko makubwa na mshituko alioupata Katibu Mkuu wa CDM Wilberd Slaa kususiwa na zaidi ya nusu ya wajumbe wa Mkutano Mkuu Jimbo la Kinondoni ktk mkutano mkuu.
Mpaka sasa haijulikani sababu ya ususiaji huo ila wachunguzi na watafiti wa masuala ya siasa wanadai kuwa huenda hiyo ikawa ni dalili ya wanachama wa CDM kupoteza imani na Katibu wao ambae ushawishi wake kwa chama chao unazidi kupungua!

Habari kamili kuhusu mgomo huo gonga hapa:

Mahudhurio ya wajumbe yamkatisha yamaa Dk Slaa - Siasa - mwananchi.co.tz
- OHH! MY GOD! TENA HIZI HABARI ZIMEANDIKWA NA GAZETI LENU WENYEWE CHADEMA, LINGEKWUA LA CCM MNGESEMA MANENO YENU YALE, SO INA MAANA HUU NI UKWELI KWAMBA HATA MKUTANO WA CHAMA HAMUWEZI KUFANYA HAPA DAR, LAKINI KILA SIKU KUKIMBILIA KUANIZSHA MATAWI NJE YA NCHI TUKIWAAMBIA MNAKUWA MBOGO NA MATUSI MAZITO MAZITO, SASA UNAONA MFICHA MARADHI?

- TUNAWAAMBIA JIPANGENI TENA BADO MKO NYUMA SANA HAMSIKII, HALAFU ETI N DIO MNASEMA HUYU SLAA AINGIE MDAHALO NA KATIBU MKUU WA CHAMA TAWALA CCM KAMANDA KINANA? PHEWWWWWWW!!, KAMA HATA MDAHALO NA CHAMA CHAKE HAWEZI ITAKUWA CCM?

Le Mutuz!!
 
W. J. Malecela

W. J. Malecela

Tanzanite Member
Joined
Mar 15, 2009
Messages
14,056
Likes
3,423
Points
280
W. J. Malecela

W. J. Malecela

Tanzanite Member
Joined Mar 15, 2009
14,056 3,423 280
Ufanyaji wa vikao vya ndani vya chama siku za kazi nao unachangia mahudhurio finyu ya wajumbe. Maana inajulikana wajumbe wengi si waajirwa wa Chama. Wengi wamejiajira na kuajiriwa. Ni vyema hii mikutano mikubwa cha chama mfano ya ngazi za Kata, Wilaya, Mkoa, etc ikawa inafanyika weekend.

Nakala: Dr. Willbroad Peter Slaa, etc
- Wacha hizi unafikiri Kiongozi gani wa chini atakubali kuja kwenye mkutano na Slaa ambaye analipwa Millioni 12 kwa mwezi bila sababu huku wao hawalipwi hata senti moja? Ni common sense zaidi tu, kwamba Chadema punguzeni matumizi makubwa sana mliyonayo ya kwenda kufungua matawi nje, badala ya kujiimarisha hapa nyumbani!!

Le Mutuz!
 
M

Mheshimiwa Mwl Steve

Senior Member
Joined
Nov 3, 2012
Messages
139
Likes
2
Points
0
M

Mheshimiwa Mwl Steve

Senior Member
Joined Nov 3, 2012
139 2 0
- OHH! MY GOD! TENA HIZI HABARI ZIMEANDIKWA NA GAZETI LENU WENYEWE CHADEMA, LINGEKWUA LA CCM MNGESEMA MANENO YENU YALE, SO INA MAANA HUU NI UKWELI KWAMBA HATA MKUTANO WA CHAMA HAMUWEZI KUFANYA HAPA DAR, LAKINI KILA SIKU KUKIMBILIA KUANIZSHA MATAWI NJE YA NCHI TUKIWAAMBIA MNAKUWA MBOGO NA MATUSI MAZITO MAZITO, SASA UNAONA MFICHA MARADHI?

- TUNAWAAMBIA JIPANGENI TENA BADO MKO NYUMA SANA HAMSIKII, HALAFU ETI N DIO MNASEMA HUYU SLAA AINGIE MDAHALO NA KATIBU MKUU WA CHAMA TAWALA CCM KAMANDA KINANA? PHEWWWWWWW!!, KAMA HATA MDAHALO NA CHAMA CHAKE HAWEZI ITAKUWA CCM?

Le Mutuz!!
tatizo la kubeba mabox ugaibuni ni hatari kwelikweli
 
B

blueray

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Messages
2,219
Likes
6
Points
0
B

blueray

JF-Expert Member
Joined Sep 15, 2012
2,219 6 0
Gazeti la Mwananchi leo limeripoti masikitiko makubwa na mshituko alioupata Katibu Mkuu wa CDM Wilberd Slaa kususiwa na zaidi ya nusu ya wajumbe wa Mkutano Mkuu Jimbo la Kinondoni ktk mkutano mkuu.
Mpaka sasa haijulikani sababu ya ususiaji huo ila wachunguzi na watafiti wa masuala ya siasa wanadai kuwa huenda hiyo ikawa ni dalili ya wanachama wa CDM kupoteza imani na Katibu wao ambae ushawishi wake kwa chama chao unazidi kupungua!

Habari kamili kuhusu mgomo huo gonga hapa:

Mahudhurio ya wajumbe yamkatisha yamaa Dk Slaa - Siasa - mwananchi.co.tz
Sababu ni Negative propaganda, kuchafua Chadema ionekane kuna mgawanyiko ndani ya Chama!!
 
KV LONDON

KV LONDON

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2012
Messages
904
Likes
57
Points
45
KV LONDON

KV LONDON

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2012
904 57 45
Bado mtaguna sana cdm tunachana mbuga'
 
Nsiande

Nsiande

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2009
Messages
1,649
Likes
19
Points
135
Nsiande

Nsiande

JF-Expert Member
Joined Jul 27, 2009
1,649 19 135
- OHH! MY GOD! TENA HIZI HABARI ZIMEANDIKWA NA GAZETI LENU WENYEWE CHADEMA, LINGEKWUA LA CCM MNGESEMA MANENO YENU YALE, SO INA MAANA HUU NI UKWELI KWAMBA HATA MKUTANO WA CHAMA HAMUWEZI KUFANYA HAPA DAR, LAKINI KILA SIKU KUKIMBILIA KUANIZSHA MATAWI NJE YA NCHI TUKIWAAMBIA MNAKUWA MBOGO NA MATUSI MAZITO MAZITO, SASA UNAONA MFICHA MARADHI?

- TUNAWAAMBIA JIPANGENI TENA BADO MKO NYUMA SANA HAMSIKII, HALAFU ETI N DIO MNASEMA HUYU SLAA AINGIE MDAHALO NA KATIBU MKUU WA CHAMA TAWALA CCM KAMANDA KINANA? PHEWWWWWWW!!, KAMA HATA MDAHALO NA CHAMA CHAKE HAWEZI ITAKUWA CCM?

Le Mutuz!!
Jamani baada ya JK kumsifu sana Mwigulu na Nape kwa kuchana upinzani kwa hoja za mezani, nadhani hulka hii imechukua kasi mpaka kwa wafuasi wengine

I think whoever throws a hit at Upinzani and for that matter CHADEMA and in particular Dr Slaa will be in his excellency's good books

Just the other day, Obama and Roomney had a closed door meeting, how's that for breakfast ?
 
Nsiande

Nsiande

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2009
Messages
1,649
Likes
19
Points
135
Nsiande

Nsiande

JF-Expert Member
Joined Jul 27, 2009
1,649 19 135
- Wacha hizi unafikiri Kiongozi gani wa chini atakubali kuja kwenye mkutano na Slaa ambaye analipwa Millioni 12 kwa mwezi bila sababu huku wao hawalipwi hata senti moja? Ni common sense zaidi tu, kwamba Chadema punguzeni matumizi makubwa sana mliyonayo ya kwenda kufungua matawi nje, badala ya kujiimarisha hapa nyumbani!!

Le Mutuz!
Le Mutuz how about YOU work on issues Esther Wassira so rightly told u,
Yoù just get by jabbin your big ha hah aha mouth that's she's kilaza...far too low
 
Ciril

Ciril

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2011
Messages
6,506
Likes
2,713
Points
280
Ciril

Ciril

JF-Expert Member
Joined Jan 10, 2011
6,506 2,713 280
Gazeti la Mwananchi leo limeripoti masikitiko makubwa na mshituko alioupata Katibu Mkuu wa CDM Wilberd Slaa kususiwa na zaidi ya nusu ya wajumbe wa Mkutano Mkuu Jimbo la Kinondoni ktk mkutano mkuu.
Mpaka sasa haijulikani sababu ya ususiaji huo ila wachunguzi na watafiti wa masuala ya siasa wanadai kuwa huenda hiyo ikawa ni dalili ya wanachama wa CDM kupoteza imani na Katibu wao ambae ushawishi wake kwa chama chao unazidi kupungua!

Habari kamili kuhusu mgomo huo gonga hapa:

Mahudhurio ya wajumbe yamkatisha yamaa Dk Slaa - Siasa - mwananchi.co.tz
Siasa za Tanzania bwana!!!ushabiki tu kila kitu sijui ni kwa faida/hasara kwa nani!!.
 
K

Kiranja

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2007
Messages
754
Likes
4
Points
0
K

Kiranja

JF-Expert Member
Joined May 19, 2007
754 4 0
- Wacha hizi unafikiri Kiongozi gani wa chini atakubali kuja kwenye mkutano na Slaa ambaye analipwa Millioni 12 kwa mwezi bila sababu huku wao hawalipwi hata senti moja? Ni common sense zaidi tu, kwamba Chadema punguzeni matumizi makubwa sana mliyonayo ya kwenda kufungua matawi nje, badala ya kujiimarisha hapa nyumbani!!

Le Mutuz!
Huyu Mtoto wa Malecela , ambaye hana kazi anayoifanya dar, hana uwezo wakujikimu baada ya kupigwa ban Ulaya sasa anazeeka vibaya , kwani mtu wa umri wake hawezi kufanya haya afanyayo, huyu ana miaka 52 na mpaka sasa hana hata familia anayoweza kuilea , hana mke wala hajawa na mtoto hata wa kusingiziwa . Kama angekuwa na matatizoyakiafya ningekuwa nimemwelewa , ila kwa matendo yake ya kutembea na warembo wa dar kila kona ,kama ambavyo anafanya sasa hapa leaders club, niko hapa na namuona akipanga kwenda club Bills kushiriki miaka 20 ya club hiyo , asingekuwa anafanya.

Achukue hatua walau awe na heshima kwa jamii kwa mujibu wa mila na desturi za waafrika , la sivyo ataumbuka vibaya sana kwanI kashawekewa mitegomingi ya kumfuatilia
 
aspen

aspen

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2011
Messages
501
Likes
8
Points
35
aspen

aspen

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2011
501 8 35
Kiranja acha uwongo le mutuz aana watoto wawili wakwanza wa kike ni binti mkubwa tu na mdogo wake ni wakiume
 
K

Kiranja

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2007
Messages
754
Likes
4
Points
0
K

Kiranja

JF-Expert Member
Joined May 19, 2007
754 4 0
Kiranja acha uwongo le mutuz aana watoto wawili wakwanza wa kike ni binti mkubwa tu na mdogo wake ni wakiume
Mkewe anaitwa nani na kamuoa lini , hao watoto kawazalia wapi tz au ughaibuni? Weka ushahidi hapo nami nitakujibu kwa vielelezo na nyaraka. Huyu mtu kakaa nje ya nchi tangu ujana wake karejea mwaka jana akiwa na umri wa kugombea uraisi yaani 50 yrs, sasa wewe usimtetee mtu usiyemjua vizuri, tangu afeli form four , dingi yake alim desert na huo ndio mwanzo wa historia ya maisha yake......
L.l
 
Sikonge

Sikonge

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2008
Messages
11,550
Likes
650
Points
280
Sikonge

Sikonge

JF-Expert Member
Joined Jan 19, 2008
11,550 650 280
Kiranja,

Tushambuliane wenyewe kwa wenyewe. Haya ya kuingiza wake zetu na watoto hapa tuyaache.

Ni kweli ana watoto wawili na wengi tu hapa tumeshawaona maana aliwaweka kama sikosei mwenyewe hapa JF.

Angalia thread zake za mwanzo kabisa waweza kuuona huu uzi. Tujikite kwenye CHADEMA vs CCM. Maswala binafsi tuyaache maana kama mtu unaacha hoja husika na kuingiza mambo binafsi, basi unakuwa sawa na Nape/Mwiguru/Wassira/Makamba Baba na wengine wengi.
 
Forum statistics

Threads 1,251,860
Members 481,917
Posts 29,788,022