Wajumbe/mabalozi wa CCM watupa bendera za chama chao

Wajumbe/mabalozi wa CCM watupa bendera za chama chao

Huku mtaani watachinjwa kama kuku Kwa hasira hizi Mungu aapishie mbali hata kama maccm ni magaidi ila kauli za kuwatia visu vya shingo na kuchoma nyumba zao Kwa petrol zinatisha.
 
Na wale wasengerema wa serikali ya mtaa wenyeviti hawa inatakiwa wafanywe mubaya.
 
Kuna mmoja namnukuu alisikika akisema "Samia katuulia watoto wetu, Samia katuulia wapiga kura wetu, Samia katuchonganisha na wananchi".

Nikakumbuka alivyokuwa akitamba na kauli zake za MAMA MITANO TENA.

Nikabaki nacheka kama mazuri vile.

Inafikirisha kweli
 
Back
Top Bottom