Watu wa EL toka pande zote wanamiminika Dom kukinukisha wanaitwa na wajumbe
Hali sii shwari Dodoma
Taarifa zilipatikana hivi punde ni kuwa maelfu ya watu wa kambi ya lowassa wamewasili dodoma na wengine wengi njiani kuelekea dodoma kupinga jina la lowassa kufutwa hasa baada ya hofu kuenea. Inadaiwa kwamba watapinga kwa njia yeyote maandamano au kwa fujo.
Taarifa za kiusalama zinadai hali itakuwa mbaya sana wakikata jina la mgombea huyo kwani wanamtandao wa Lowassa wanaendelea kukusanya watu kutoka mikoa ya karibu! Hali hii imezidi kuwa mbaya zaidi baada ya kikao kufanyika leo na kuazimia kutumia uma uliojitokeza kumdamini kupambana na kuapa kuwa hata polisi hawataweza zuia umati huo kufanya chochote. Pia uraibu wa maandamano na vurugu nchi nzima unaratibiwa usikuu huu na kufikia kesho wameapa kulipua nchi.
Hali hii imefanya kuwepo vikao vingi vya kutafuta sluu na kusababisha uoga wa kutangaza majina. Vikao hiv vimekuwa vigumu kwani Lowassa amefichwa na kundi lake na simu zake zimezimwa, amekataa katu katu kuonana na kuzungumza na viongozi na wajumbe waliotumwa kwake.
Nimetumiwa kwa sms hv punde