Wajumbe kumkomoa JK, kumpa ulaji Magufuli

Wajumbe kumkomoa JK, kumpa ulaji Magufuli

Mr Benard Membe ni kiongozi Ambaye ni chaguo la utawala wa Sasa, Kiongozi hawezi kuchaguliwa na wachache kwa kulinda Maslahi Binafsi Hali hii inaweza kuleta mchafuko na kusababisha maafa makubwa sisi wanaadamu haturidhiki. Bendera apewe makufuli au Tutapigia UKAWA. Tunataka Mabadiliko
 
Hata mdogo wangu wangu wa miaka 10 ameniambia eti mbona katika hao watano its quite obvious kwamba magufuli anaula..?! nikambwambia noooo! kiranja alishamteua membe na hakuna jinsi..!

jk amuweke membe au dada yake asha rose,utakuwa ndio mwisho wa ccm
 
Ndoto haha

Daah mkuu kwel ndoto...nataman mm ndio ningemkamata..ningechukua burungutu mbili nasunda then ndo naanza kuwaita watu...aliyemkamata bila kuchukua hata mia atakufa masikin mpaka bas...
 
Hao wote wa tano ni watu wa JK.

Yani alichofanya hapo JK ni Umafia wa Kisiasa. Magufuli hajawahi kumpinga JK hata mara moja, Magufuli ni standout performer wa JK, Magufuli ni rafiki wa JK. sasa unmkomoa JK kwa kumpa kura Magufuli bado JK anapeta. Yani JK alichofanya ni kuhakikisha he don't get to loose either way it goes. Naona Mkapa na Mwinyi wamepewa master class ya how to pick hand pick you successor. You handpick about 10 of your people and let peope pick 5 of your people for you. THEN when they think they are dismissing your candidate, they still pick your candidate.

Hii inanikumbusha a famous russian political joke.

It goes like this:
"Mr. Putin, I have good news and bad news"
Putin: "Start with the good news."
"You won the Presidential election."
"Great! What's the bad news?"
"Nobody voted for you…"

If you have heard this joke before, chances are you grasp the essence of the Russian "polittechnology" ..,

THIS is exactly what is going to happen with JK today, he will still WIN even if no one "vote" for his no-1 choice, because he happened to have 5 number 1 choices.

TeamLowassa keeps on getting schooled.

cc: Mzee Mwanakijiji, nguruvi, joka kuu
 
Watu wa EL toka pande zote wanamiminika Dom kukinukisha wanaitwa na wajumbe

Hali sii shwari Dodoma

Taarifa zilipatikana hivi punde ni kuwa maelfu ya watu wa kambi ya lowassa wamewasili dodoma na wengine wengi njiani kuelekea dodoma kupinga jina la lowassa kufutwa hasa baada ya hofu kuenea. Inadaiwa kwamba watapinga kwa njia yeyote maandamano au kwa fujo.

Taarifa za kiusalama zinadai hali itakuwa mbaya sana wakikata jina la mgombea huyo kwani wanamtandao wa Lowassa wanaendelea kukusanya watu kutoka mikoa ya karibu! Hali hii imezidi kuwa mbaya zaidi baada ya kikao kufanyika leo na kuazimia kutumia uma uliojitokeza kumdamini kupambana na kuapa kuwa hata polisi hawataweza zuia umati huo kufanya chochote. Pia uraibu wa maandamano na vurugu nchi nzima unaratibiwa usikuu huu na kufikia kesho wameapa kulipua nchi.

Hali hii imefanya kuwepo vikao vingi vya kutafuta sluu na kusababisha uoga wa kutangaza majina. Vikao hiv vimekuwa vigumu kwani Lowassa amefichwa na kundi lake na simu zake zimezimwa, amekataa katu katu kuonana na kuzungumza na viongozi na wajumbe waliotumwa kwake.

Nimetumiwa kwa sms hv punde

Hakuna kitu wanawezafanya hao Team Lowassa. Hii ni Tanzania nakuambia na kama wanataka kuona cha mtema kuni waingie barabarani kuandamana, waone moto wake. Nakuambia hivi CCM inaweza kuyumba lakini sio Taifa la Tanzania. Hii nchi iko imara kaka na haiwezi kuyumbishwa na kakikundi kadogo kanakoitwa "Team Lowassa" Tena wakifanya mchezo, huyo Lowassa anaweza kupotezwa kabisa, mkaishia kuambiwa amekufa kwa shinikizo la damu. Shauri yenu!
 
Mr Benard Membe ni kiongozi Ambaye ni chaguo la utawala wa Sasa, Kiongozi hawezi kuchaguliwa na wachache kwa kulinda Maslahi Binafsi Hali hii inaweza kuleta mchafuko na kusababisha maafa makubwa sisi wanaadamu haturidhiki. Bendera apewe makufuli au Tutapigia UKAWA. Tunataka Mabadiliko
Mkuu wewe mpaka amekatwa Losawa ndiyo umejua kwamba nchi hii inahitaji madailiko sasa!

Watu wanakesha na kuomba kila siku walau kiu yao madiliko itimie hata kesho kwa namna yoyote.

Hili suala liko wazi wambie na wenzio wasiyo amani kwa kusikia mpaka wao kwa macho kwamba saa ya ukombozi ni sasa!
 
Tunashukuru kama magufuli atapita akipita membe afadhari niwapigie kura ukawa. Huyo membe hana jipya ataridhi tabia za binamu yake
 
Kama wanajipanga kumuunga mkono Magufuli kwa lengo la kunusuru chama hakuna tatizo. Il kama wanafanya hivyo kwa lengo la kutekeleza matakwa yao ya kifisadi hapo hapana

Team ya el imekufa kifala yaani bize yao yote for nothing
 
Inaonyesha hawa jamaa bado hawajaangamizwa. Watabadili nini na watafanya nini. Kwani yeye ndo alikuwa lazima awe.

Naona baado wanatiana moyo.
Hakuna kitu wanawezafanya hao Team Lowassa. Hii ni Tanzania nakuambia na kama wanataka kuona cha mtema kuni waingie barabarani kuandamana, waone moto wake. Nakuambia hivi CCM inaweza kuyumba lakini sio Taifa la Tanzania. Hii nchi iko imara kaka na haiwezi kuyumbishwa na kakikundi kadogo kanakoitwa "Team Lowassa" Tena wakifanya mchezo, huyo Lowassa anaweza kupotezwa kabisa, mkaishia kuambiwa amekufa kwa shinikizo la damu. Shauri yenu!
 
Mr Benard Membe ni kiongozi Ambaye ni chaguo la utawala wa Sasa, Kiongozi hawezi kuchaguliwa na wachache kwa kulinda Maslahi Binafsi Hali hii inaweza kuleta mchafuko na kusababisha maafa makubwa sisi wanaadamu haturidhiki. Bendera apewe makufuli au Tutapigia UKAWA. Tunataka Mabadiliko

Uko sahihi mkuu
 
Hatari sana kama kiranja anaamua kumuweka jamaa yake hii ni hatari.
 
Watu wa EL toka pande zote wanamiminika Dom kukinukisha wanaitwa na wajumbe

Hali sii shwari Dodoma

Taarifa zilipatikana hivi punde ni kuwa maelfu ya watu wa kambi ya lowassa wamewasili dodoma na wengine wengi njiani kuelekea dodoma kupinga jina la lowassa kufutwa hasa baada ya hofu kuenea. Inadaiwa kwamba watapinga kwa njia yeyote maandamano au kwa fujo.

Taarifa za kiusalama zinadai hali itakuwa mbaya sana wakikata jina la mgombea huyo kwani wanamtandao wa Lowassa wanaendelea kukusanya watu kutoka mikoa ya karibu! Hali hii imezidi kuwa mbaya zaidi baada ya kikao kufanyika leo na kuazimia kutumia uma uliojitokeza kumdamini kupambana na kuapa kuwa hata polisi hawataweza zuia umati huo kufanya chochote. Pia uraibu wa maandamano na vurugu nchi nzima unaratibiwa usikuu huu na kufikia kesho wameapa kulipua nchi.

Hali hii imefanya kuwepo vikao vingi vya kutafuta sluu na kusababisha uoga wa kutangaza majina. Vikao hiv vimekuwa vigumu kwani Lowassa amefichwa na kundi lake na simu zake zimezimwa, amekataa katu katu kuonana na kuzungumza na viongozi na wajumbe waliotumwa kwake.

Nimetumiwa kwa sms hv punde

Khaa!! Kulikuwa hakuna namna nyingine zaidi ya KUKATWA :A S wink:
 
Hivi MUSSA ALLAN na Mingoi wanamawazo gani kuhusu mchakato wa kupata mwakilishi wa CCM kwenye uchaguzi wa Rais baadaye Octoba mwaka huu!?
 
Last edited by a moderator:
CCM hata wampitishe mzee majuto waatashinda kiti cha urais huo ndiyo ukweli UKAWA wanamtegemea Dr.Slaa watu wameishamchoka sasa sijui atakuja na drama gani ufisadi watu wameishaichoka.
 
Back
Top Bottom