Wajumbe kumkomoa JK, kumpa ulaji Magufuli

Wajumbe kumkomoa JK, kumpa ulaji Magufuli

Watu wa EL toka pande zote wanamiminika Dom kukinukisha wanaitwa na wajumbe

Hali sii shwari Dodoma

Taarifa zilipatikana hivi punde ni kuwa maelfu ya watu wa kambi ya lowassa wamewasili dodoma na wengine wengi njiani kuelekea dodoma kupinga jina la lowassa kufutwa hasa baada ya hofu kuenea. Inadaiwa kwamba watapinga kwa njia yeyote maandamano au kwa fujo.

Taarifa za kiusalama zinadai hali itakuwa mbaya sana wakikata jina la mgombea huyo kwani wanamtandao wa Lowassa wanaendelea kukusanya watu kutoka mikoa ya karibu! Hali hii imezidi kuwa mbaya zaidi baada ya kikao kufanyika leo na kuazimia kutumia uma uliojitokeza kumdamini kupambana na kuapa kuwa hata polisi hawataweza zuia umati huo kufanya chochote. Pia uraibu wa maandamano na vurugu nchi nzima unaratibiwa usikuu huu na kufikia kesho wameapa kulipua nchi.

Hali hii imefanya kuwepo vikao vingi vya kutafuta sluu na kusababisha uoga wa kutangaza majina. Vikao hiv vimekuwa vigumu kwani Lowassa amefichwa na kundi lake na simu zake zimezimwa, amekataa katu katu kuonana na kuzungumza na viongozi na wajumbe waliotumwa kwake.

Nimetumiwa kwa sms hv punde

Ninyi ndio mnaotia wananchi woga kwa vi sms vya kipumbavu. Kwanza nianze na aliesema mhindi wa mabulungutu ya hela ni mfanyakazi wa caspian inayomilikiwa na Rostam Aziz. Taarifa ya habari chanel ten na meneja wa hotel hiyo wamesema mhindi mwenyewe anababaisha mara ni mfanyakazi wa ubalozi mara mfanyakazi wa quality group ya Manj. Sasa wewe wa sms taarifa zia kwamba Edo kafichwa zinatatanisha kwani zipo zinazodai pia kuwa kaonekana kwenye moja ya vikao vinavyoendelea. Hao wapambe wanaoagizwa toka mikoani kwenda kuongeza nguvu Dodoma ya kuleta vurugu na hatimae nchi nzima lazima waelewe serikali haipo likizo kwenye vikao vya Dodoma watashughulikiwa ipasavyo.
 
Back
Top Bottom