Wajumbe CCM Mmedharauliwa. Mnafanywa Rubber Stamp

The Khoisan

Platinum Member
Joined
Jun 5, 2007
Posts
18,206
Reaction score
17,359
Yaani hiki kitendo cha kuitisha mikutano mitatu kwa siku moja yaani Kamati Kuu, Halimashauri kuu na Mkutano Mkuu ni dharau kwa Wajumbe na Wanachama wa CCM. Kwa mani yangu kinachofanyika hapa ni kikundi fulani kuleta agenda yao ili vikao halali vya chama ivipitishe. On top of that hata hayo mabadiliko hawajaambiwa ili wajiandae mpaka wakati wa Mkutano. Huko ni kuviziwa. Hii siyo sawa hata kama ni jambo zuri. Wajumbe wana haki yakujadili kwa uwazi.
 
CCM kwa mtindo huu ni kuzalisha udikiteita ndani ya chama.
Kubadili katiba ndani ya saa 24 kwa ajili ya matakwa ya mtu mmoja kunaleta maswali mengi sana
 
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wetu aisee hii za zaidi ya dharau... laah.
Yaani mktano wa maamuzi ya hatma ya chama chetu yawe kwa BANDO? kweli?
 
Mimi sio muumini Wala mfuasi wa CCm lakini kwa hoja yako unanifanya nitafakari kuwa wachache wenye nguvu ndani ya CCm wanatumia nguvu zao kuendesha wafia chama ambao ndio wengi.

Anyway nchi huru hii ikiwapendeza waunde chama kingine, wafuasi ni wao wenyewe
 
Yaani hiki kitendo cha kuitisha mikutano mitatu kwa siku moja yaani Kamati Kuu, Halimashauri kuu na Mkutano Mkuu ni dharau kwa Wajumbe na Wanachama wa CCM. Kwa mani yangu kinachofanyika hapa ni kikundi fulani kuleta agenda yao ili vikao halali vya chama ivipitishe. On top of that hata hayo mabadiliko hawajaambiwa ili wajiandae mpaka wakati wa Mkutano. Huko ni kuviziwa. Hii siyo sawa hata kama ni jambo zuri. Wajumbe wana haki yakujadili kwa uwazi.
Kwanza kinafanyika kama.shughuli za jando na unyago. Uficho na siri usiokuwa wa kawaida.
Unafanya kikao cha mabadiliko ya katiba ambayo hayatajwi.
Vikao vitatu huku kimoja kikitarajiwa kuwa na wajumbe zaidi ya 1000, ufanye kwa siku moja!

Kama.kila wilaya ikiwa na mchango wa dakika mbili ni saa tano za wajumbe kutoa maoni/ michango yao. Huo mkutamo utaisha kwa siku moja?
 
Wana CCM wameridhika na utaratibu wao. Sasa wewe sio Mwana CCM unalalamika. Sijui hii tuiiteje!?
 
Kuna kitu wamekizoea kuiba kura ndio maana wanakuwa jeuri kutosikiliza watu
 
Majitu yanaburuzwa kwelimweli na yanaenda tu!!

Nilikuwa najiuliza,inakuwaje waarabu/wakoloni waliweza kufunga watu wazima minyororo na kuswaga kama punda?

Now I know!!
 
CCM kwa mtindo huu ni kuzalisha udikiteita ndani ya chama.
Kubadili katiba ndani ya saa 24 kwa ajili ya matakwa ya mtu mmoja kunaleta maswali mengi sana
Mtu isipomfaa Akili yake, utamdhuru Ujinga wake ~ Mulin wa Idodombi, Uyui 1872

CCM wanaenda kutengeneza kinyago ambacho mbele ya Safari kitawatisha sana na watashindwa la kukifanya.

Hizo sheria wanazotunga kwa mihemuko ipo siku moja zitawakaanga wenyewe.

Acha tujipe Muda, watakaosoma andiko hili miaka ya 2045+ watakuwa mashuhuda.
 
Back
Top Bottom