Wajumbe CCM Mmedharauliwa. Mnafanywa Rubber Stamp

Wajumbe CCM Mmedharauliwa. Mnafanywa Rubber Stamp

Msajili wa vyama bwana nyahonza naye ni mjumbe wa kikao namuona hapa.
Sipati picha kama chadema ndiyo wanafanya hivyo! Msajili angerembea UCHI kwenda mahakamani
 
Mbona wa vyam

Vingine kama chadema wakifuata utaratibu wao MSAJILI ana binua makalio na wewe una nusa na kupiga chafya???
Chadema waliolalamika utaratibu haukufuatwa ni Wana Chadema wenyewe tena kwa kuchorewa ramani na Boni Yai. Mwana CCM gani kalalamika? Kaenda kwa Msajili wa Vyama?
 
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wetu aisee hii za zaidi ya dharau... laah.
Yaani mktano wa maamuzi ya hatma ya chama chetu yawe kwa BANDO? kweli?
Hivi kura zilihesabiwa kwa teknolojia gani?
 
Back
Top Bottom