Wajumbe Arusha waapa kumchagua Cde Dkt Makonda

Wajumbe Arusha waapa kumchagua Cde Dkt Makonda

Wale wajumbe wa kigamboni walikula hela zake hivi hivi mwisho wa siku wakaingia mitini.
 
Shida Makonda anagombea na mjinga anaitwa Gambo, asiyekuwa na alama Arusha. Ndio maana anaonekana kuvimba
 
Wajumbe Arusha M Wana Jambo Lao nalo ni Comrade Dr Makonda
Umewahi kusikia historia ya mtu anayeitwa Nicolae Ceaușescu wa Romania? Aliondolewa kwa nguvu ya umma mara tu baada ya ''kushinda'' uchaguzi kwa asilimia 99. Makonda hana tofauti. Umaarufu wa bandia.
 
Back
Top Bottom