Wajue watu kumi waliobahatika kuishi miaka mingi duniani

Kwa Tanzania juzijuzi kuna babu katangazwa kuwa ana miaka 120 ila tatizo hakuna vielelezo ndo tatizo la Watanzania na Afrika kwa ujumla kutotunza kumbukumbu mfano hata aliyebuni nembo ya Taifa eti hajulikani ni aibu.......

Najua vijijini kuna vikongwe kibao vimejaa tele ila havina vyeti vya kuzaliwa
Sasa leo nakuletea watu kumi ambao wanajulikana kutokana na Mungu kuwajalia kula chumvi nyingi a.k.a vikongwe/wazee
Yaani wazee 10 wa muda wote
Kuzeeka ni baraka....kuishi kwingi ni kuona mengi
Njia pekee ya mtu kuukwepa uzee ni kufa mapema akiwa kijana
............................................. .............................

10/Margaret Ann Neve
cc21a000e066466f4f47499477221bf8.jpg
319772029aab3625d5111c631eed4ada.jpg
Bibi huyu Alizaliwa mnamo mwaka 1792
Alikuwa ndiye mwanamke mzee zaidi duniani hadi kipindi alipofariki
Umri wake ulithibitika pia kitaalamu kwa kutumia Medical technology
Huyu bibi alijaaliwa kuishi karne tatu yaani karne ya 18,19 na 20 na ndiye binadamu pekee aliyekuwa na kumbukumbu safi kabisa za mambo yaliyojiri karne ya 18,19 & 20

Alifariki mnamo mwaka 1903 akiwa na umri wa miaka 110 na siku 321
Nimemweka kutokana na sababu za hapo juu(kuishi karne 3)
Picha inaonesha alizawila 1762 na kufariki 1862 hapo pana karne tatu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Picha inaonesha alizawila 1762 na kufariki 1862 hapo pana karne tatu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nakushauri upunguze kula maharage.......rudia kwenye ile picha kwa umakini utagundua maneno mengine kwa chini ndiyo yanahusika
Hajafa 1862

Hivi kuhusu kuishi karne 3 umeelewa nilichoandika au umekurupuka


Kazaliwa 1792 na kufa 1903 sasa hapa kuna karne ngapi alizoishi? Si karne ya 18 hadi ya 20 na sijasema umri wake ni sawa na karne 3(miaka 300)
 
IMG_20180902_211655.jpeg
IMG_20180902_211721.jpeg

Bi Kidude aliishi mjaka 103 (1910--2013)
Ni mmoja wa wasanii waliobahatika kuishi miaka mingi huku akijihusisha na sanaa karibia kipindi chote vha maisha yake
 
Nimeelewa
Uwe unasoma na kuelewa na sio kujifanya mjuaji wakati hujaelewa kitu
Nimeandika kaishi kane 3 yaani kazaliwa karne ya 18 na kufariki karne ya 20

Na sijasema umri wake ni sawa na karne 3..........
 
Inabidi tuanzishe Cuinness Book ya kiafrika tuache kutegenea wazungu

Ila siku hizi tushaendelea nafikiri baada ya miaka 50 Waafrika watakaovuka miaka 100 hawawezi kukosa kuwa na vyeti vya kuzaliwa bivyo mzungu kazi anayo
na hata jina napendekeza liwe konyagi book of records,tuwauwe zaidi😀😀😀
 
Ukitaka kujua zamani ilikuwa shida mpaka sasa miaka ya hapa laribuni,,ona foleni Nida,,kiukweli wazee wapo wameishi miaka mingi tu,,bib yangu ni mzee sana lakini bado anakumbukumbu kiasi anakadiriwa kuwa na miaka 110+
Inawezekana mkuu tatizo waliozaliwa miaka minfi ya zamani (1800s & 1900s) hawana vyeti vya uthibitisho

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom