Wajue watu kumi waliobahatika kuishi miaka mingi duniani

Hivyo vitabu vya kumbukumbu usemavyo,.una uhakika gani havikutungwa??
Mbona ni rahisi tu kuelewa nilchomaainisha mkuu
Basi niletee japo picha ya hao watu walioandikwa kwnye vitabu vya dini waliishi miaka 1000
Nimesema hizo ni hadithi tu
 
Mtu kuwa na kichwa kigumu huoni km ni faida pindi akipanda bodaboda bila kuvaa helmet ?

Mpangilio wa thread zangu ndio ulivyo na kamwe sitaubadilisha
Jf ni jukwaa huru wala hatujapewa masharti kwamba wote tuanzishe mada kwa namns fulani

Halafuu niombe radhi mkuu mimi siyo kizee ni kijana wa kawaida tu
Mzee wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
8/Misao Okawa
05dededa7888e7b606a807572c7559ab.jpg
ff2fcfe2494af7bd552d4aea1ce3f8e4.jpg
Ni bibi wa Kijapan aliyezaliwa mwaka 1898
Ndiye aliyekuwa akishikilia rekodi ya mtu mzee zaidi duniani hadi pale Mwenyezi Mungu alipomtwaa
Huko Japan kuna wazee zaidi ya 50,000 wenye umri zaidi ya miaka 100 .....Wajapan siyo wa mchezo mchezo hawaendi makaburini mapema
Sisi huku serikali ya Mh. Sizonje inasimanga wazee eti wanamaliza dawa

Alifariki dunia 2015 akiwa na miaka 117
mxweeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1/Dhaqabo Ebba
118fb4bfef6099f4bb3e8cfc41363089.jpg
de139d640bfe52257117e905eae0a502.jpg
bb0c1efc0b9b66e047cfff9a932d57c9.jpg

Ni Muethipia alizaliwa miaka ya 1850's
Muda wake mwingi alikuwa anejishughulisha na kilimo

Kinachomnyima tunzo ya kuwa mtu mzee zaidi duniani ni ukosevu wa ushahidi kamili pia Wazungu hujipendelea tu kwa kila jambo

Amefariki dunia mwaka 2015 kiwa na imri wa miaka 162
.
.
.
.
.
.
.
Mwisho
The Bitoz



Alitisha sana.
 
6/Marie Louise Meilleur/b]
c0e31c3983173b3a22bc5a40e775c325.jpg
158bde8e60b7bb91f825b5a1c0fd6927.jpg
Alizaliwa Agosti 29 mwaka 1880
Ni bibi wa Ufaransa mwenye asili ya Canada(naona wanawake wanatawala list tu)
Ndiye Mkanada aliyeishi miaka mingi zaidi kuwahi kutokea kwenye historia ya nchi hiyo
Watu hawaachi fursa kuna manukato yanatumia jina lake na kuwazuga watu yanarefusha maisha

Alifariki dunia mwaka 1998 akiwa na miaka 117 na siku kiduchu
kawaida stress zetu hazilingani na zenu;viva wamama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nimecheka japo inasikitisha lol kweli uchawi upo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kufa kupo na ni kitu cha kawaida tu
Baada ya Hance kunitonya niliutafuta huo uzi na kuuona nikabaki kuduwaa tu maana mtu hata janifahamu halafu anazusha tu mambo
Baada ya muda moderator akaufuta baada ya kuonekana ni uzushi

Mimi hapa Jf wapo watu km wawili ninaojuana hadi tunapoishi ila ikitokea wamefariki siwezi kuanzisha uzi labda tu niwaPM Mod direct nikiwa na ushahidi zen title waweke RIP inatosha na sioni faida ya kuwajulisha wanaJf nzima kwamba fulani kafa
 
Bibi yangu alikufa na miaka 145 aliishi enzi za mtemi mirambo hadi utawala wa mkapa mbona simuoni hapo?

Sent using Jamii Forums mobile app

Tatizo Data ndugu yangu, hao waliowekwa vyeti vinadhibitisha hivyo sasa sisi taratibu za vyeti vya kuzaliwa kujua tarehe gani mtu kuzaliwa tumeanza Mwaka 1960 mpaka leo hii uzao kibao wa watu awajui tarehe zao za kuzaliwa, ukisema bibi alizaliwa enzi za mtemi Mirambo bado aijitoshelezi, Inawezekana alizaliwa wakati Mirambo tayari kikongwe ,weka vyeti vyake udhibitisho
 
Umesema ameishi Karne tatu hivi Karne ni miaka mingapi
Tuanzie hapa

E&K
Karne 1= miaka 100
Nimesema kabaharika kuishi karne 3 yaani kazaliwa mwishoni nwa karne ya 18 na kufariki mwanzoni mwa karne ya 20

Na sijasema umri wake ni sawa na karne 3

Nimeeleweka ?
 
4/Juana Chox Yac
f04404aa95da586afc61b5a69269ba7b.jpg
3adca081e02926c03caab2075c526a7c.jpg

Alizaliwa Novemba 29 mwaka 1893 nchini Guatemala
Amewahi kushikilia rekodi ya dunia ya mtu mzee zaidi duniani hadi mauti yalipomfika
Alipatiwa kitambulisho cha Taifa mwaka 2012 baada ya vielelezo kujitosheleza bila chenga kwamba kazaliwa karne ya 19
Ameacha vitukuu kibao

Alikuwa na umri wa miaka 122 wakati anafariki dunia 2015
Misao okawa...kafariki mwaka 2015 na alishikiria record ya mtu mwenye umri mrefuu...na alikuwa na miaka 117...na huyuu tena kafariki 2015 miaka 122..nayy alishirikiria record ya mtu mkubwa duniani....mkuuu vepeeee???
 
Misao okawa...kafariki mwaka 2015 na alishikiria record ya mtu mwenye umri mrefuu...na alikuwa na miaka 117...na huyuu tena kafariki 2015 miaka 122..nayy alishirikiria record ya mtu mkubwa duniani....mkuuu vepeeee???
Mkuu chukulia nfano kwenye kitabu cha kumbukumbu/maajaby ya dunia kuna mtu anashikilia rekodi ya mtu mzee zaidi lakini kumbe yupo mwingine zaidi yake ila taarifa zake hazijawafikia au ushahidi ulikuwa wa mashaka
 
Kufa kupo na ni kitu cha kawaida tu
Baada ya Hance kunitonya niliutafuta huo uzi na kuuona nikabaki kuduwaa tu maana mtu hata janifahamu halafu anazusha tu mambo
Baada ya muda moderator akaufuta baada ya kuonekana ni uzushi

Mimi hapa Jf wapo watu km wawili ninaojuana hadi tunapoishi ila ikitokea wamefariki siwezi kuanzisha uzi labda tu niwaPM Mod direct nikiwa na ushahidi zen title waweke RIP inatosha na sioni faida ya kuwajulisha wanaJf nzima kwamba fulani kafa
pole sana mkuu afu nilijua utani bana nikajua hans anatania dat y nikacheka afu nikasikitika dat type of funny kumbe ni seriousdah!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pole sana mkuu afu nilijua utani bana nikajua hans anatania dat y nikacheka afu nikasikitika dat type of funny kumbe ni seriousdah!

Sent using Jamii Forums mobile app
Jf ukiwa offline wiki moja tu halafu ikatokea tukio la kibaka kuuawa unaweza kukuta uzi na kuzushiwa kifo
Tushazoea mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom