Huyu mtaalamu wa miamba kwanini asiwe STAMICO au MIneral Commission ambako angetumika kwa faida zaidi kuliko kufanya kazi za kiutawala?
Sasa kwann anasumbua watu na uchaguzo feki??dooh that y jiwe alijigamba "siwezi kukupa gari, mshahara, posho then uje umtangaze mshindi wa upinzani" ni kweli haiwezekani!
Kwa maslahi ya chama😎Mbinu za kuwinda ccm zimefika mwisho hii ilikuwa risasi muhimu sana na AG anakata rufaaa kwa maslahi ya nani?Ndio uone Tanzania inawasomi waaajabu kuliko.
What is wrong with this? What is bad with this? The National Electoral Commission has enough staff to do this noble task, so what is done is to with what the law provides and that is what is being done. Mnataka Tume ya Uchaguzi itumie akina nani kama si hawa kama Sheria ya Uchaguzi isemavyo?Hii ni thread maalumu kwa Wakurugenzi wa Halmashauri (DED) ambao ni wasimamizi wa Uchaguzi Mkuu wakati huo huo ni makada wa Chama cha Mapinduzi.
View attachment 1098421
View attachment 1098390
1. Kisena M. Mabuba, DED wa Halmashauri ya Misungwi na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu wa Jimbo la Misungwi.
View attachment 1098391
2. Lutengano G. Mwalwiba, DED wa Magu na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu Jimbo la Magu. 2015 alishiriki Kura za Maoni za Ubunge za CCM Tanzania Busokelo.
View attachment 1098393
3. Anna-Claire Shija, DED wa Same na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu wa Same Mashariki na Magharibi. 2015 alishiriki Kura za Maoni za Ubunge wa CCM Tanzania Sengerema.
View attachment 1098395
4. Netho Ndilito, DED wa Mufindi na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu kwa Majimbo ya Mufindi Kaskazini na Kusini.
View attachment 1098396
5. John Lipesi Kayombo, DED wa Musoma na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu kwa Majimbo ya Musoma Mjini n Vijijini. Alikuwa mNEC wa CCM kupitia Vyuo Vikuu.
View attachment 1098397
6. Esther Anania Chaula, DED wa Ukerewe na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu kwa Jimbo la Ukerewe.
View attachment 1098432
7. Elias Mahwago Kayandabila, DED wa Mbogwe na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu kwa Jimbo la Mbogwe. 2015 alishiriki Kura za Maoni Ubunge CCM Kigoma Kaskazini.
View attachment 1098495
8. Jefrin Lubuva, DED wa Mwanga aliyekuwa mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Osterbay kwa tiketi ya CCM.
9. Adeladius Makwega, DED wa Mbozi na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu kwa Jimbo la Mbozi. 2015 alishiriki Kura za Maoni Ubunge CCM Jimbo la Kigamboni.
10. Pius Shija Luhende, DED wa Itigi na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu kwa Majimbo ya Manyoni Magh na Mash. 2015 alishiriki Kura za Maoni Ubunge CCM Kishapu.
11. Jimson Peter Mhagama DED wa H/ wilaya ya nyasa kabla ya uteuzi wake alikuwa Katibu wa CCM mkoa wa Ruvuma.
12. Falesy Moh’d Kibasa, DED wa Kondoa DC na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu Jimbo la Kondoa Vijijini. 2015 alishiriki Kura za Maoni Ubunge CCM Jimbo la Iringa.
13. Waziri Mourice, DED wa Karatu na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu wa Karatu. 2015 alishiriki Kura za Maoni za Ubunge CCM Kigoma kusini.
14. Kaigounze Alexius, DED wa Mlele Mkoani Katavi, na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu kwa Jimbo la Mlele.
15. Khalifa K. Mponda, DED wa Kondoa Mji na Msimamizi wa Uchaguzi wa Kondoa Mjini.2015 alishiriki Kura za Maoni Ubunge CCM Jimbo la Moro Kusini Mashariki.
16. Florent Laurent Kyombo, DED wa Mvomero na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu wa Jimbo la Mvomero. 2015 alishiriki Kura za Maoni Ubunge CCM Jimbo la Nkenge.
17. Alphonce Magori, DED wa Butiama msimamizi Uchaguzi Mkuu Musoma vijijini, 2015 aligombea ubunge Jimbo la Musoma Mjini.
18. Yohana E Sintoo, DED wa Hai na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu kwa Jimbo la Hai. 2015 alishiriki Kura za Maoni Ubunge CCM jimbo la Singida Kaskazini.
19. Janeth Peter Mayanja, DED Bunda Mji na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu kwa Bunda Mjini. 2015 alishiriki kura za Maoni za Ubunge za CCM za Mtama.
20. Geoffrey Mwangulumbi, DED wa Shinyanga n Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu kwa Jimbo la Shinyanga Mjini. 2015 alishiriki Kura za Maoni Ubunge CCM Mbarali.
21. Listi inaendelea....View attachment 1099586
View attachment 1099584
Yupo DED wa Maswa, Frederick sagamiko! Alishiriki kura za maoni ulanga 2015!tuleteeni wakuu, tujue jambo la kuombea kwa Mungu, yaani wanafki wanazunguka misikitini na kanisaninkuombewa kumbe wanajua namna wanavyoiba