Wajue ma DED zaidi ya 74 wasimamizi wa Uchaguzi ambao ni wanachama wa CCM

What is wrong with this? What is bad with this? The National Electoral Commission has enough staff to do this noble task, so what is done is to with what the law provides and that is what is being done. Mnataka Tume ya Uchaguzi itumie akina nani kama si hawa kama Sheria ya Uchaguzi isemavyo?
Sheria ya uchaguzi inasemaje kuhusu wajumbe wa Tume ambao ni wanachama wa vyama vya siasa.

IMG_20190515_163622.jpg
 
IMG_20190517_155657.jpg

Huyu ni Marcelin Rafael Ndimbwa DED Malinyi na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu kwa Jimbo la Malinyi. 2015 alishiriki kura za Maoni za Ubunge za CCM Ileje. Serikali inakatia rufaa hukumu ya kuwaondoa MaDED kusimamia Uchaguzi kwa sababu hawa ndio #PumziYaCCM
#ChaguziHuru
#WaTZsiWajinga https://t.co/2RDpnnwPa0
 
IMG_20190517_160051.jpg

Huyu ni Huyu ni Jumaa Mhiwapijei Mhina, DED Longido na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu kwa Longido. 2015 alishiriki kura za Maoni za Ubunge za CCM Kawe. Serikali inakatia rufaa hukumu ya kuwaondoa MaDED kusimamia Uchaguzi kwa sababu hawa ndio #PumziYaCCM
#ChaguziHuru
#WaTZsiWajinga https://t.co/TUP1hmlmDo
 
IMG_20190517_160816.jpg

Huyu ni Martha Daudi Luleka, DED Sikonge na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu kwa Jimbo la Sikonge. Serikali inakatia rufaa hukumu ya kuwaondoa MaDED kusimamia Uchaguzi kwa sababu hawa ndio #PumziYaCCM
#ChaguziHuru
#WaTZsiWajinga

@fatma_karume @BobWangwe @zittokabwe @IsmailJussa https://t.co/p1T6roAoKd
 
IMG_20190517_161203.jpg

Huyu ni Aaron Kagurumjuli, DED Kinondoni na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu kwa Majimbo ya K’ndoni n Kawe. Mwanafunzi Akwelina aliuawa kwenye uchaguzi uliosimamiwa naye. Serikali inakatia rufaa hukumu ya kuwaondoa MaDED kusimamia Uchaguzi kwa sababu hawa ndio #PumziYaCCM
#ChaguziHuru https://t.co/zOSPtvs700
 
Mambo yanazidi kuanikwa hadharani, haya ndio madhara ya kuongea wakati wa kula. (refer kauli ya raisi ya kuwapa mahela, magari halafu watangaze mpinzani)

wenzake walikaa kimya na haya yote hayakujulikana
 
Tz haitakuja kuwa na uchaguz huru bila kubadilisha hiyo katiba,afu jamaa bado eti wanakata rufaa
 
Dk. Fredrick Sagamiko, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Maswa na msimamizi wa uchaguzi majimbo ya maswa mjini na vijijini. Huyu aligombea ubunge jimbo la Mlimba lakini kura hazikutosha.
1100699
 
Wote tuseme amina
Duh! Haki ya mama Mungu ampe maisha marefu sana yule hakimu aliefyekelea mbali kusimamiwa na makada chaguzi zetu, na hakimu atakae batilisha hili laana ya watanzania ikawe juu yake..
 
Sasa hapo hata uamke saa tisa za usiku kuwahi foleni ya kupiga kura hapo wapinzani kuna kitu wataambulia?. Itafika mahala tutaingia barabarani kama Sudani hawa wasaka matonge wasiposikia.
 
View attachment 1100455
Huyu ni Aaron Kagurumjuli, DED Kinondoni na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu kwa Majimbo ya K’ndoni n Kawe. Mwanafunzi Akwelina aliuawa kwenye uchaguzi uliosimamiwa naye. Serikali inakatia rufaa hukumu ya kuwaondoa MaDED kusimamia Uchaguzi kwa sababu hawa ndio #PumziYaCCM
#ChaguziHuru https://t.co/zOSPtvs700
Dah Kumbe huyu ndo chanzo cha kifo cha Quine Aquilina jamaniiiiiiii!!! Machozi ya waliofiwa yakushukie
 
Hayo ni matatizo ya akili, mnadhani kwa kupost majina na picha za wakurugenzi ndio wananchi watawapenda, wawapigie kura....mnajidanganya.Matendo yenu na uwajibikaji wenu ndio utasaidia kupata au kukosa....WASTAGE OF TIME...
 
Back
Top Bottom