Mamndenyi
Platinum Member
- Apr 11, 2011
- 44,689
- 64,738
Hiyo inaitwa ni jasiri hasahau asili
Nikija huko nitamwambia
rafiki yangu (nikimtaja tu hapa ni mawe) mmoja mitaa ya kwenu
twende tukaone tena hayo makitu yako yakoje.
Nikija huko nitamwambia
rafiki yangu (nikimtaja tu hapa ni mawe) mmoja mitaa ya kwenu
twende tukaone tena hayo makitu yako yakoje.
Mamndenyi vilishanishinda muda mrefu sana kwa kweli hata mimi
hata baadhi ya wazee wenye ambao wana uwezo kidogo wameingia kwenye unywaji wa bia na kuachana na mbege
Ila bado kuna watu wanaipenda bana kuna sehem hapa karibu na ofisi huwa inatengenezwa kwa order maalum na jumamosi na jumapili utakutana na watu na vogue zao na vx wamekuja kunywa wameweka magari yao nje ya nyumba ya huyo mama mpikaji wanakunywa
na pale babylon hapa mjini pia kuna siku maalumu wanauza mbege bana yaani watu wanainywa kwa interest tuu ila wanaipenda mbaya