Wajasiriamali kuanguka awamu ya tano

nyiokunda

JF-Expert Member
Jun 16, 2015
1,872
1,109
Kutokana kubana matumizi ya serikali wafanya biashara wengi wameanguka kibiashara, coz serikali ndo anaye consume zaidi. Makampuni yanakosa tender na wanaanza kupunguza wafanyakazi.

Nikiwa kama banker wateja wanasema wanashindwa kuchukua mikopo hasa ma contractors. Nimuhimu serikali isibane sana kwan uchumi pia unachangiwa na mzunguko wa pesa, uwekezaj na ajira zaidi.
 
Kutokana kubana matumizi ya serikali wafanya biashara wengi wameanguka kibiashara, coz serikali ndo anaye consume zaidi. Makampuni yanakosa tender na wanaanza kupunguza wafanyakazi. Nikiwa kama banker wateja wanasema wanashindwa kuchukua mikopo hasa ma contractors. Nimuhimu serikali isibane sana kwan uchumi pia unachangiwa na mzunguko wa pesa, uwekezaj na ajira zaidi

Walimu wako ndio waliokufundisha hivyo?
 
Walimu wako ndio waliokufundisha hivyo?

Hiyo ndo hali halisi inategemea ww unafaidika vp.kwan kuna advantage na disadvantage ya kubana matumizi ila nime base kwa entrepreneurs sio social development issues
 
Wajasiliamali wengi walikuwa wanakwepa kulipa kodi kwahiyo bidhaa zao zilikuwa bei ya chini kuwapita wale waliokuwa wanalipa kodi kiuhalali,sasa kwa sasa hawawezi kumudu ushindani kwa mazingira ya usawa wa kulipa kodi kwa kuwa walishazoea njia ya mkato.
 
Kutokana kubana matumizi ya serikali wafanya biashara wengi wameanguka kibiashara, coz serikali ndo anaye consume zaidi. Makampuni yanakosa tender na wanaanza kupunguza wafanyakazi.

Nikiwa kama banker wateja wanasema wanashindwa kuchukua mikopo hasa ma contractors. Nimuhimu serikali isibane sana kwan uchumi pia unachangiwa na mzunguko wa pesa, uwekezaj na ajira zaidi.
Uchumi Haupo km unavodhania wewe
 
Back
Top Bottom