wajanja night yanitokea puaaniiii

wajanja night yanitokea puaaniiii

July Fourth

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2012
Posts
2,240
Reaction score
795
ama kweli nimeamini hamnaga cha bure wakuu..nina laini mbili nyekundu... Moja ya kudraw nyingine ya kutumia kama kwaida.. Mwezi ulopita nilinunua mda wa maongezi kimakosa badala ya kutoa pesa.. (buku 30) so nikawa natumia kidogo kidogo kwa kuhamisha kwenye ile nyingine.. Usiku wa kuamkia leo nilijaribu kuliunga bando la wajanja kubundi kwa kutumia laini yangu ya kawaida yet nikaambiwa sina salio kila nikitaka kujiunga... Nikasema isiwe tabu.si ninazo mbili?? Nikaunga kwenye ile ya pili.. Ilikuwa ina buku 15 na 750.. Kilichonikuta.. .Nimeamka saa moja na nusu asubuhiiiii.akaunt inasoma... 0tsh..bora wangeniachia hata ya kubeep
ihc09g6e1f99wf2029ns.png

bfejnfaqgjokfzpnztq8.png
 
Ofer wa janja night hua inaisha saa 06:59 baada ya apo wanaanza kula mpunga wao kama kawa hapo jipe pole kwa kuchelewa kuamka
 
Wala haujaibiwa ila hakuzingatia kipengele cha "Vigezo na Masharti kizingatiwa".
 
Inabidi kua makinibhasa katika masuala ya Pesa, Mitandao ya simu wanapo pata upenyo wana ramba pesa kwa kasi ya ajabu.

Tumia njia hizi mbili kuepuka tatizo hili kujirudia tena
1.Tega alarm kabla ya saa 6:59 ili manually u disconnect network
2. Set sleep timer ili computer au simu ijizime au i sleep kabla ya saa 6:59
Download ShutDown8 hapo chini itakisaidia katika kuset sleep timer.
Download ShutDown8

mkuuuu una vituko weye eti "KUBUNDI" afu hujaachiwa hata ya KU-BEEP, mkuuuuuuu nimecheka hadi basi
 
Usijali dear nitakutumia MUAMALA,ila usimwambie mzee najua ata MIND.
 
asanteni wakuu... NingaR....NIKO NAPAKUA KWASASA
 
Last edited by a moderator:
Ofer wa janja night hua inaisha saa 06:59 baada ya apo wanaanza kula mpunga wao kama kawa hapo jipe pole kwa kuchelewa kuamka
Halafu anaonekana automatic update alikuwa ameyaachia tuu bila kuyafunga
 
Hawa jamaa ndio zao hata ukiunga bundle zingine hivyo hivyo, bundle likiisha hawakustui wao wanakula mpunga mpaka wamalize salio ndo unatumiwa sms bundle limeisha ukijaribu kucheck salio unakuta 00
 
Hawa jamaa ndio zao hata ukiunga bundle zingine hivyo hivyo, bundle likiisha hawakustui wao wanakula mpunga mpaka wamalize salio ndo unatumiwa sms bundle limeisha ukijaribu kucheck salio unakuta 00

Wajanja Knight Offer sio kama bundle zingine, yenyewe inakua activated for 24hrs ndipo utapata ujumbe kua subscription yako imekwisha lakini ki uhalisia matumizi yanaisha saa 6:59am so hapo ni suala la mtumiaji mwenyewe kujua, either Vodacom waanze kutuma ujumbe kua muda wa matumizi ume kwisha.
tukirudi katika suala ls bundle za kawaida hapo ndio wanakatisha tamaa yaani hata uwe na pesa kiasi gani ukiwa CONNECTED tu hawatoi taarifa mpaka salio lisome Tsh.0. Nasilia(sijathibitisha) mtandao wa TiGo unapo karibia kumaliza MB zako wanatoa taarifa kua umekaribia kumaliza bundle yako huku ndio kunako itwa kujali wateja
 
yap Tigo ukikaribia asilimia 80 kabla ya kumaliza wanakustua au wakati mwingine bundle likiisha net inakata but salio lako linakuwa halijaguswa na ukiconnect tena bila kucheck kwanza ndiyo mpunga unakwenda kwa speed kali
 
mamaaa pole sana,
antivirus na
torrent zimenyonga mpunga wako
 
Hii rahisi saaana,weka movie list kama unatumia IDM kwny schedule,set time ya IDM kukata mawasiliano ya intanet saa 6:58,nenda kalale,kama mtandao hautozingua hapo kati utaamka movie zako zote tayari na ukitaka izime ngamizi yako itaizima bila shaka. Huwa natumia njia hiyo kuepuka kukatwa salio.
 
Ofer wa janja night hua inaisha saa 06:59 baada ya apo wanaanza kula mpunga wao kama kawa hapo jipe pole kwa kuchelewa kuamka

Hauwezi kuwa na guarantee ya kuwahi kuamka inshu ni kuhakikisha laini unayoiunga na wajanja night offer ina sh 200 tu!!Then hata uamke saa tano sio inshu!!
 
Back
Top Bottom