wamaukweli
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 1,084
- 1,277
Pole mpenzi,kuachwa au kuachana na umpendae we we sio wakwanza,Moyo unauma sana kwavile hauna mifupa,Fanya vile vitu roho inapenda mfano kuangalia move, kusikiliza mziki,kwenda kwenye michezo,ama kusoma novel vitakusaidia sana kukutoa hapo,Unaweza bila yeye na ukionyesha kuwa bado maisha yanaendelea na raha zako,Ataona wivu juu yakoYangu boy wangu aniache nimekuwa mtu wa hasira yaani unaweza nisemesha vizuri tu lakini nikakujibu vibaya
Nashinda tu nimelala nikichoka kulala naingia bafuni nakaa huko wee natoka nimeridhika.
Imefikia hatua hata sielewi kwakweli maana hapo nyuma sikuaga hivi. Yawezekana ni upweke tu unasumbua.
Wanaume wa jf nao wamejaa kejeli hata kufarijiana awajua yaani kuna mmoja yeye yupo yupo tu ata kuongea hajui.
Nakupa uenyekiti Wa CHAPUTA mamaNashinda tu nimelala nikichoka kulala naingia bafuni nakaa huko wee natoka nimeridhika
Kukaa mwenyewe unayapa nafasi mawazo ambayo yatakutesa sanPole kwa upweke..jaribu kujichanganya na wenzako..jitoe out..upweke utasepa
hapana banahahàaaaa"" kwahiyo hpo unawaponda wanaume wa Jf kijanja"".ili wengine wanao jifnya wanajua Ku care wakufuate Pm """
Jf imeshapatwa aiseee''"" mademu wa badoo wamevamia huku ""
MmmhWatu wapo ofisini jamani.
Abari ndio iyoUsiwaze ujumbe wako umenifikia. Hata kama nipo nipo tu na sijui kuongea nitajifunza au nitaomba dalasa la kuongea
Yes my dadaBafuni ndio unapata faraja
thnxDawa ya upweke ni kushinda humu JF tu
Hamna namna
Mmhaaahghhh huyu "" mtoto kama nimeanza kumuelewa hvi "" acha nimmendee mwenyew "" yule Jamaa anatabia za ufisi akija anaweza kunizidi kete
ThnxNmekuelewa .
Inaweza ikawa ananyetuka huyo..!!Bafuni unafanya nn muda wote huo????
fany hvyo mtoto mzuri nakuja pm
Wee na Mr miller ,mnalilia bafu moja ,huku mkimwagiana maji na kujibembeleza wenyewe[emoji28]Na hizi mvua babii bora mvuani kuliko bafuni.
Siyo mbaya piaAbari ndio iyo
Usinisingizie mieMleta siredi nae anatutega tu, Mana kasema anae boy wa JF ila sio muongeaji. Inabid PM zimiminike kwa wingi sasa. Ila wakati unasubiri suluhu ya tatizo lako usiache kwenda bafuni kupunguza machungu.
Pole mdada
Ukwl kbxKama ulichokiandika ni kweli pole sana. Naamini utapata faraja very soon.