Wajamini dawa ya upweke ni mini?

hata haya ya kwenda na kikopo babe.....anabeba ndoo zake mbili za lita 20 anakua anajimwagia maji huku analia machozi [emoji1][emoji1][emoji1]

na machozi ya kuachwa yanavyokuwaga yamoto basi yanapozwa na maji hahaha akitoka hapo uchungu umepungua kidogo hahaha ss nyie sijui mmemuwazia nn binti wa watu [emoji20][emoji20]
 
Mleta siredi nae anatutega tu, Mana kasema anae boy wa JF ila sio muongeaji. Inabid PM zimiminike kwa wingi sasa. Ila wakati unasubiri suluhu ya tatizo lako usiache kwenda bafuni kupunguza machungu.
Pole mdada
 
Ilo tangazo inabidi ulipie mchu mchu. Maana wateja najua wamesha miminika huko!
 
Huko duniani kuna mambo, Bora nilieshukia sayari nyingine
 
Kula " poda ¾ " mwamba utakuwa freshi....

* poda - madawa ya kulevya.


[emoji4]
 
Biashara ni matangazo na tangazo lako lina ubunifu wa hali ya juu.
Ngoja tusogee pm
 
Kama ulichokiandika ni kweli pole sana. Naamini utapata faraja very soon.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…