Wajamini dawa ya upweke ni mini?

JF pia kuna KIBATANI KINA BAFU ingia huko
 
Hapo bafuni hua unafanya nini hadi unatoka umeridhika ?
 
wee mamaa swali lako umemuuliza lina utata huoni? hahaha nimecheka sana
Lakini babe bafuni kweliii,kukaa tuu??heheehe hata kama ni stress hizi zimepitiliza....halafu anaongezea "mpaka analidhika" kabisaa sasa analidhishwa na nini???labda kama bafu lenyewe lina jakuzi,.ila kama haya mabafu yetu ya kwenda na kikopo mkononi sijui unaenjoy nini....uwiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…