Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmh.. ina maana Rutashubanyuma kweli hii ni coincidence? yaani yamenikuta mimi halafu wewe kurudi jamvini unakuja na uzi wa kunigusa!!!!?? sitaki kuamini.
Rutashubanyuma dah niimiss sana utenzi wako aise
ulikuwa wapi aise na kupotea hivyo
[MENTION]Frustrations nyingi huzaliwa kutokana na watu kutokujua limits zao hivyo kujiwekea malengo wasiyoweza kuyafikia.
Rogie.....kuteleza siyo kuanguka......................na kuanguka siyo kuumia.............na kuumia siyo kuwa hakuna tiba............................elewa mipaka yako na utaishi kwa miraha kebe wa kebe..........
Waswahili hulonga..."penye chokochoko.."
Usiache kupapulizia papoe, pakitulia...
Basi ujue mambo yamejipa na ni shwari..
Pakiendelea kufurukuta basi elewa kazi ipo
Wajamani, "it feels good 2 know ur limits."
Wengi huamini ukikaza musuli utafanikiwa,
Wengi hujidanganya, "the sky is the limit"
Wengi hujipooza, lolote lawezekana.............
Lakini ukweli wabakia tunayo mipaka ya nguvu..

Kauli na makeke huwa hayatupiti........
Tunapopigwa chini huanza kutafuta visingizio......
Lawama kibao kwa wengine, huku kwetu ni ukimya..
Hivi tatizo ni wao au ndoto zetu zisizotekelezeka?

Tambua mipaka yako utaishi kwa miraha..
Karaha kwako kando kwani utapanga mipango fanikika
Watakaokucheka zao ni arobaini kwani wataumbuka
Usitawaliwe na kauli za wengine ila misimamo yako

"Kisukari kubwa" na kiharusi kwako itakuwa mwiko
Kwa sababu unakula kulingana na mkono wako
Kujilinganisha ni mtego wewe sasa umeukwepa
Kwani kila mmoja alizaliwa kivyake-vyake..

I am beginning to feel like it is X-MAS..............
[MENTION]
watu8[/MENTION]....mbona sijapotea sana? Miezi miwili tu?
Did you get some white X-mass, or not yet to feel without it
[MENTION]Did you get some white X-mass, or not yet to feel without it
Yes Rutashubanyuma, i am trying to cope up with the situation and from now on I know my limits. I hoped for impossibilities.
Thanks for this..will watch on my next move then..Rogie Opportunists are well trained to take advantage of this emotional ailment.............so watch out next time.................when a offer is too good to be true.........................when it is like that just pass it..................and your journey to total independence will be on........