Wajamani, "it feels good 2 know ur limits."

Wajamani, "it feels good 2 know ur limits."

Ruta nimekupoteza kitambo mkuu? Ndo mambo ya kwenda nyumbani kusalimia nini? Si unajua kwetu hata simu hazikamati. Ahhhhhhhhh

LINCOLINMTZA YEah...........niko kifunguni kidogo na harakati za kuutafuta mkate......
 
Last edited by a moderator:
Kunivuta mshipini, nao ni uwezo wako,
Kujua kina kilindini, usipime maji ya ugoko,
Na ukitaka kwenda mwezini, usigeuze limbuko,
Pimwa usijipime, kujua uwezo wako
[MENTION]
Kigarama[/MENTION] ubeti mmoja tu hautoshi.........ongeza mbili tafadhali.........
 
mkuu, heshima kwanza.
:focus:
Unajua hali halisi ya maisha kwa sisi watanzania ndo inasababisha mpaka tunashindwa kujua limit yetu. Yani mtu unajikuta unahangaika na kupamabana kwa sana ili utoke, naturaly unapotoka hatua moja kuingia nyingine matatizo ndo yanaoongezeka sasa inakubidi ujipange tena for the next move.
[MENTION]
Theone[/MENTION]......ur simply the best............
 
Ebo kumbe mko kwa Idd? Ebo wadau nyie mmenikumbusha mbali! lol

[MENTION]Caroline Denzi[/MENTION] ulikwisha kuvinjari maeneo hayo?
 
Tunapokumbushana kama hivi, kama mtu anaamua kuchukua muda kutafakari uzito wake, halafu anachukua uamuzi wa kufanyia kazi maamuzi yake.
Ni jambo gumu, kuamua kuwa realistic, bila kuwa pessimist.

Tuendelee kukumbushana

Haika hizi busara zinapaswa nizitungie wimbo......
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom