WAJALUO kulala na wakweze, kwanini? siri yake ni nini jamani?

Story ya siku nyingi lakini kama ya uongo vile hizo ni mila na tamaduni za kabila ambalo lipo hapa Tanzania kweli, any way tuwaachie wenyewe maana najua kwa majanga ya sasa wanajua hali si nzuri huenda majority walikwisha badilika na kuiacha hiyo tamaduni mbaya na kuendelea na yaliyo mazuri. Hata mtoa mada anaungana ama anaafiki tamaduni nyingine mbovu eti anakerwa na la baba mkwe tu, mfano mdogo mtu kulala na shemejie pindi kaka yake kasafiri yeye anaita its normal, hiyo normal yako/yenu duh mbona mtakwisha kama mna practice hivyo vitendo haramu vya unzinzi.
 
MMMh! shuti nashusha pumzi kwakuogopa,yani kama kweli mbona ukweni kwenda itabidi tuongozane na Baba watoto na tunarudi wote.hali hiyo duh ntamuangalia vp huyo baba mkwe kwanza akinihemea duh naweza zimia mie,mungu atunusuru,au mamamkwe nae anakubalije visa kama hivi?
Kama baba watoto wako naye anaikubali hiyo mila, lazima ugegedwe na hatimaye ukeketwe (kama bado). Maana naye si wahuko..???!!
 
Nimeuliza toka kwenye vyanzo vya kuaminika kuhusu hii habari ya baba na mwana kwa wajaluo, na vyanzo vimesema ni kweli na ni ajabu na ni kweli!
This is very grossy and disgusting! Nikiona watu wa namna hiyo nitawafungulia mashtaka na mtaenda jela. Sitanii!!

Dont be stupid,juzi umekuja hapa eti umempenda mtoto wa nyanza kenya..nikakupa sifa zao..jaluo,kurya,kisii nk..naomba niweke wazi hapa,mimi ni mjaluo wa shirati..am above 30..hakuna na hapatawai tokea baba mkwe kulala na mke mwana,never and it will never happen jaman.,inasikitisha mtu anakuja hapa yapping eti baba zetu wanalala na wake zetu..this is so pathetic and weird..siku za nyuma wajaluo tulikuwa na tabia ya kurisi wake za ndugu zao,hasa kaka kumrisi mke wa mdogo,but not mdogo kwa mkubwa.,its sio vizuri kuchafuana humu,wewe utafiti wako umeufanya kwa jaluo wa wapi? Stop being irrelevant mkuu.
 
Mimi ni mjalauo tena sio wakuchonga..hakuna kitu kama hiki,awe jaluo wa Kenya,Tanzania,Uganda Sudan,Drc,Nigeria au Amerika...Tuache kuchafuana jamani..wajaluo walikuwa na tabia ya kurisi wake za marehemu ndugu zao..lakin tabia hii imepungua kama sio kuisha kabisa..pia wajaluo walikuwa wavivu sana kwenda suna (kutairi) lakini siku hizi majority ya luo men wametairi suna..si vizuri mtu kuja hapa na story za kutunga ili mradi apate kick kupitia from luos..wajaluo are the most civilised tribe in Africa,kwa hapa nyumbani wanafuatwa na wahaya..sasa sio vizuri kuchafuana..wanaume na wanawake wa kijaluo tupo smart sana,kamwe hatuwezi kulala na wakwe zetu..mtoa mada nakuomba usitake sifa kwa mada za kuchafuana.
 
oya acha kuzalilisha makabira umeona wap mkurya kakeketwa, mambo ya kizamani ucyalete humu
 
Asante kwa taarifa. Bora waoane wao kwa wao, wengine tutaweza wapi? uchafu na laana tupu, ninaomba Mungu nisimpende mjaluo wala mkurya.

Ngoja tukamuulize Aisha Mashauzi kama hii issue ni ya kweli? Ni kweli kwamba hata yeye hana King'amuzi na pia baba mkwe aliisha onja?
 
ing`e niya ,,,jok moko koso ga gimagitim,,,

OK anyal wacho ni ofuo..... ila oongeee gi gimo tim.....
Jaluo ma kanye ma nindo jaod wuode???....... eeeeeeh poka winjooo maeeeee..... piny ni dhi kanyee??
 
OK anyal wacho ni ofuo..... ila oongeee gi gimo tim.....
Jaluo ma kanye ma nindo jaod wuode???....... eeeeeeh poka winjooo maeeeee..... piny ni dhi kanyee??

huyu jamaa aliyeleta mada hii kanichefua to the maximum,jomoko ofuwo mana kaminegi...huu ni upuuzi na kuchafuana.
 
purely pathetic...................... anyways who gives a shit???.
C'mon ...before you stand before people and start opening that bowl... to pour these non sense....... would you even stop for a while and think first?!....
coz this just insults your intelligence.

You know what this tells me??........ "i got some savages around and i should be carefull coz they might start running mad."
 
I was just abt to vomit at the site when i saw this rubbish...i strongly conderm it..sioni sababu za ku cook stories kuhusu jamii flani so that mtu apate kick..wajaluo ni jamii iliyo na mila na tamaduni zao lakini sio uchafu kama huu...tuwe wangwana mambo ya kuanzisha uzi kwa kuchafuana..kutafuta umaarufu kwa kuanzisha ----- kama huu is not acceptable at all..am a luo man,brought up kwa mila na desturi za kijaluo,sijawai sikia wababa wa kiluo wakiwaomba wakwe zao uroda..gus lets mind our threads.
 
Mimi ni mjalauo tena sio wakuchonga..hakuna kitu kama hiki,awe jaluo wa Kenya,Tanzania,Uganda Sudan,Drc,Nigeria au Amerika...Tuache kuchafuana jamani..wajaluo walikuwa na tabia ya kurisi wake za marehemu ndugu zao..lakin tabia hii imepungua kama sio kuisha kabisa..pia wajaluo walikuwa wavivu sana kwenda suna (kutairi) lakini siku hizi majority ya luo men wametairi suna..si vizuri mtu kuja hapa na story za kutunga ili mradi apate kick kupitia from luos..wajaluo are the most civilised tribe in Africa,kwa hapa nyumbani wanafuatwa na wahaya..sasa sio vizuri kuchafuana..wanaume na wanawake wa kijaluo tupo smart sana,kamwe hatuwezi kulala na wakwe zetu..mtoa mada nakuomba usitake sifa kwa mada za kuchafuana.

The Luo are the most civilized tribe in Africa? I didn't know that, sir
 
Back
Top Bottom