Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 1,769
- 5,630
Kwa anayefahamu mwamba anayeikunja hii pisi msaada hapo chini.
😁😁Karibuni mjini
Ndio hupendi sifa hapo😅Japo sipendi sifa lkn Kwa sasa nataka nimwache huyu binti
Sijajua lkn sipendi sifaNdio hupendi sifa hapo😅
Alafu anawambia wenzie wakatae NDOA 😂😂 Intelligent businessmanChombo ya kaka yetu Intelligent businessman
Binti upo nje ya mada! Kauliza nan anamla we ushaanza udalaliUna pesa ?huwa mnalia humu kila simu mizinga midogo midogo inawatoa kamasi
Kuulizia maana yake anamtaman ataweza bill za uwoya si atazimia kama humu nyuzi nyingi za kulia liaBinti upo nje ya mada! Kauliza nan anamla we ushaanza udalali
kuna mahali aliwahi kusema "za kuambiwa changanya na zako"😂. Ni mwanachama wa uwabata.Alafu anawambia wenzie wakatae NDOA 😂😂 Intelligent businessman
Kweli bhana... kumkichwakuna mahali aliwahi kusema "za kuambiwa changanya na zako"😂. Ni mwanachama wa uwabata.
Acha kina mshamba_hachekwi wajichanganyeKweli bhana... kumkichwa