Mwanga Lutila
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 3,974
- 12,964
Hii inanikuta sasa ..
Kila nikitoka out "sio kwa nia ya kula mzigo" nazungumzia kufahamiana zaidi na pisi mpya utata kwenye kwenye kupiga stori..
Mara nyingi nabakia tu 'nambie mrembo'...'mambo mengine yanasemaje?'.. 'harakati zinasemaje'....
Yaani sina stori za kumvutia aendee kukaa na mimi hapo.. nabakia kurudia rudia Sana hayo maneno ya 'nambie'..
Baada ya hapo niliambiwa nisimtafute tena..