Waiting for perfect men(girls mtajuta)

Waiting for perfect men(girls mtajuta)

Ukishafika 40 ndo utajua maana ya huo wimbo wa ntasubiri.

Mimi nikifikisha 40 ntatafuta kigori wa 24 naweka ndani, sasa wewe subiri huyo wako wa 40 kwenda mbele.

Unless, ukimbizane na watoto

ahahahahaaaaaa ni shiiiiiiiiiiiiiiiiida
 
Dada zetu huwa hadi nacheka mm!Niliwahi kataliwa posa Dodoma sababu mchumba mtarajiwa akiwa UDOM aliwahi onana na Rostam Azizi kwenye viunga vya Bunge!

Aliniomba nisubiri maana eti Rostam alimchangamkia sana likely atatangaza nia soon!

Mwaka wa 9 sasa hatuoni kitu ahahaha
 
Forgiving and forgetting is the only way to happiness
 
Acheni longolongo zenu Latoya got engaged @ 58....so what. Hizo opinion zenu kuwa uolewe at 25 or 29 ndio mnafanya wengine wanachukua extreme.

Kila mtu ana choice zake.....
 
Back
Top Bottom