mwallu
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 6,787
- 4,215
Hivi anakujua vyema kweli ama kuna mahali vidole viliteleza vikaandika ndivyo sivyo!??
Hata hanijui.labda unisaidie kumwelewesha asee
Hivi anakujua vyema kweli ama kuna mahali vidole viliteleza vikaandika ndivyo sivyo!??
kuna wimbo wa nitasubir sijui nani kaimba
mmmmh! hapana mi nimeshampataNaww unasubiri?
mmmmh! hapana mi nimeshampata
Safi sana...umtunze
Ukichagua sana nazi utatoka na koroma...binti akiona jamaa hawatangazi ndoa anajifanya nasubiri...heheheheh ndoa ya uzeeni haina raha,wenzio wamekula mshahara ww unakula pensheni.
Hehehe ndoa ya uzeeni haina raha...Hiyo ni kumalizia tuu starehe za ndoa na kutafuta wa kumuomba ruhusa wakati ukitaka kutoka......Km ni starehe za ndoa unakuwa ulishazianza siku nyingi tuu hata zaidi ya hizo...
hehehe hilo nalo swalihizo percent za furaha na mauzi unazi calculate vipi....
Nitasubiri tu,GOD'S TIME IS THE BEST mbele ya Mungu hakuna kinachishindikana..
sikimbilii mtu et kisa umri..wengine wamekaa had 45 na wameolewa/oa...na kupata the right one...y not me?
Locate me ooh Lord...
Mara nyingi mtu akifikisha zaidi ya miaka ambayo mwanaume au mwanamke anatakiwa kuoa au kuolewa bila ya kuoa au kuolewa ni LAZIMA kuna kosa limefanyika mahali na muda fulani. Maana kwenye maandiko matakatifu imeandikwa kila kitu na muda wake kuna wakati wa kuvuna na kupanda, wakati wa kulia na kucheka, wakati wa kuzaliwa, kuoa na kufa.
Kwa wasichana kuna muda ambao huchanua mara nyingi ni miaka 18 mpaka 30. Hapo lazima zitatokea fursa mbalimbali ambazo kama msichana atakuwa makini ni wazi atapata mweza wa maisha. Mfano nina shangazi yangu akiwa na miaka 22 mpaka 27 watu wengi walikuwa wakimfuata kwa kutaka kumuoa. Nakumbuka alimkataa mmoja kwa visingizio kwamba kwanza mmasai, mrefu sana na mwembamba na pia mweusi, yule kijana aliangaika kumfatilia wewe mpaka akakata tamaa maana ndio alikuwa ameanza kazi baada ya kumaliza elimu yake ya chuo. Baada ya muda kijana akaoa mtu mwingine maisha yakaendelea. Mpaka ninavyoongea shangazi anamiaka 38 bila bila. Kwa kutumia mfano huo ni kwamba mara nyingi mtu ukichelewa kuoa au kuolewa kuna kosa limefanyika mahali. KWA HIYO NI LAZIMA UJUE WAPI ULIKOSEA HALAFU NI VIZURI UKAMWOMBA MUNGU AKUREHEMU KISHA MILANGO ITAFUNGUKA KWA UPYA.
Kwangu mimi ninaamini NDOA sio mme au mke mtimilifu kwa uonavyo wewe bali ni mme au mke mtimilifu kama aonavyo Mungu. It is not about LOVE or PERFECTION but it is only about DESTINY.
anaitwa Jux