Waiting for perfect men(girls mtajuta)

Waiting for perfect men(girls mtajuta)

Eeeeeeh, wacha bwana !!! Ngoja tukuangalie na ww. Eti 45 (Sipati picha na hyo depreciation ya mwili wako) ?? Nikatoe mamilioni mahari kwa kongoro la 45, nilipeleke wapi ??? wakat kuna watoto wadogo wife terial chini yako wanaita mbayaaa. Unajua nyie wanawake mnashindwaga kujua kitu kimoja kwamba wanaume wana options nyingi ila kwenu nyie ndio mara nyingi mnasubiri mfuatwe. Anagalia usije ishia kuonjwa tu. Wata kuonja wee alaf hao wanaondoka !!

hahahaaaaaa eti kongoro la miaka 45 ndio linakuwaje hilo lol

kwahiyo Senor boss hizo option nyingi mlizonazo wanaume ni zipi???????
 
Last edited by a moderator:
Msaada mzuri andika katika karatasi mazuri yote na mabaya yote ukiona upande wa mazuri ni mengi kuliko mabaya huyo ji sahihi kwako mrekabishe na kumchukulia katika machache mabaya ambayo ji udhaifu wake kama binadam.

article-1246008-0803EBC3000005DC-221_468x300.jpg
 
Eeeeeeh, wacha bwana !!! Ngoja tukuangalie na ww. Eti 45 (Sipati picha na hyo depreciation ya mwili wako) ?? Nikatoe mamilioni mahari kwa kongoro la 45, nilipeleke wapi ??? wakat kuna watoto wadogo wife terial chini yako wanaita mbayaaa. Unajua nyie wanawake mnashindwaga kujua kitu kimoja kwamba wanaume wana options nyingi ila kwenu nyie ndio mara nyingi mnasubiri mfuatwe. Anagalia usije ishia kuonjwa tu. Wata kuonja wee alaf hao wanaondoka !!

Yani mtt wako anaolewa kabla yako halaf ww unasema unasubiri perfect guy.
 
Ukiona amechele mkumbushe MUNGU yupo kwa jili yako
 
Hesabu katika siku 30 za mwezi siku ngapi anakukosesha raha na ngap mnakaa vzr tena hapo km hamuishi pa1,ila kama mnaishi pa1 kwa muda sasa jua anafaa

mi naona mahaba ni A january to december
vinagongana vikombe itakuwa sisi...
 
Whaaaat? Tjis is insane! Ndo yale mume analala nje, There is no perfect man, mume anakupa za chembe there is no perfect man, Mume tunamchina sie kwa chati unavumilia tu there is no perfect man! Kila lakheri jamani!

Wengine we are waiting for the perfect man in A GRAND STYLE,

UKIFIKA 35 USHAKUWA BIBI THEN YOU HAVE TO MERRY AND SETTLE DOWN.

But 20 DAMNNNNNN! The best age in life wastin it in labour? Come on! You are loosing too much. Sasa when you are 35 WHAT WILL YOU BE DOING SINCE YOU HAD ALL YA KIDS ALREADY.?

Hapana aiseeee!MAJUTO NI MJUKUU BUT I DONT WANT TO REGRET THESE BEST YEARS OF MY LIFE WASTING THEM ON ANYONE!
 
Wape kisomo....
 
hahahaaaaaa eti kongoro la miaka 45 ndio linakuwaje hilo lol

kwahiyo Senor boss hizo option nyingi mlizonazo wanaume ni zipi???????

Option nyingi i meant kwamba kwa mwanaume aliyejipanga...its easy yeye kupata mwanamke anayetaka kumuoa na kuwa mwenzi wake wa ndoa...unlike women mara nyingi inakua kama anasubiri afuatwe, atongozwe, jamaa akikupenda na kuona unafaa ndio anakuoa. Otherwise wadau wanaweza wakawa wanakupitia tu. Sasa nimeshangazwa alivyosema mdau hapo juu kwamba hata mwanamke wa 45 anaolewa.....inawezekana sikatai ila atakae muoa si atakua babu achilia mbali yeye mwanamke atakua amechoka sanaa ?? Ni ngumu ki ukweli. Umri mzuri wa mwanamke kuolewa ni (24 - 35). Mbele ya hapo inakuaga bahati sanaa, kama mwanamke asipokua mjanja atakua anafunuliwa tu kisha tupa kule.
 
Whaaaat? Tjis is insane! Ndo yale mume analala nje, There is no perfect man, mume anakupa za chembe there is no perfect man, Mume tunamchina sie kwa chati unavumilia tu there is no perfect man! Kila lakheri jamani!

Wengine we are waiting for the perfect man in A GRAND STYLE,

UKIFIKA 35 USHAKUWA BIBI THEN YOU HAVE TO MERRY AND SETTLE DOWN.

But 20 DAMNNNNNN! The best age in life wastin it in labour? Come on! You are loosing too much. Sasa when you are 35 WHAT WILL YOU BE DOING SINCE YOU HAD ALL YA KIDS ALREADY.?

Hapana aiseeee!MAJUTO NI MJUKUU BUT I DONT WANT TO REGRET THESE BEST YEARS OF MY LIFE WASTING THEM ON ANYONE!
inawezekana tunatofautiana uelewa mimi naona hiyo 35 mnayosema wanawake ni wazee mbona mimi naona ndio wanaofaa zaidi?

labda challenge mbaya inayowakabiri ni swala la uzazi maana mimba after 35 years kwa mwanamke kuzaa mtoto tahaira si kitu cha ajabu.
 
je wao ni perfect ladies? usiangalie upande mmoja.
 
Nilikuwa some where baada ya kazi napata kinywaji na chakula pembeni yangu walikaa wasichana wanadscuss bout men.

But wote walichokuwa wanachangia ni mwanaume sahihi.

PERFECT men wa kuishi nao.kwa maongezi yao its like wote waliowapitia hawakufikia vigezo.

Girls and boys. Nataka niwaambie hivi you will never have perfect men.

Uzee utakukuta bado unamsubiri na hata kuja kamwe.

Maana hamna binadamU mkamilifu katika hii dunia labda uombe malaika.

Mtu anayekufaa na kukuoa furaha ktk njia yoyote ile huyo ni sahihi kwako kama anakupa furaha 85% na mauzi 15% huyo ni perfect kwako kama anakupa furaha 78% na 22% ni mauzi huyo ni perfect kwako hayo mapungifu madogo mnachukuliana mana jo one is perfect.

Happness and peace is everything guys!!!! Asikwambie mtu.

Ila pefect kwa kila kitu utasubiri sana nakwambia.

Msaada mzuri andika katika karatasi mazuri yote na mabaya yote ukiona upande wa mazuri ni mengi kuliko mabaya huyo ji sahihi kwako mrekabishe na kumchukulia katika machache mabaya ambayo ji udhaifu wake kama binadam.

out of that utajikuta una 60 yrs unasubiri perfect men akuoe.

This is fact.

So you need to think carefully .love ya all!!!!!

nimependa sana hii ujumbe nashukuru sana
 
naamin naweza kukushauli ndugu yangu mwanaume/mwanamke alie kamili auwez ukampata bila kuonja hayo mapungufu yake japo kidogo. wapo wanaume/wanawake ambao wako njema kwa ajili yako, ila kutokana na maswaibu meng yaliomkuta akakata tamaa na kuchenji
 
perfect men for ladies do exist maana naamini kila mwanamke kuna mwanaume kaandaliwa kwa ajili yake na muumba hivyo ni maombi sana.
lakini muda unapoenda hali mwanamke bado hajampata yule perfect man hapo ndo changamoto huja hivyo wapo ambao huendelea na imani ya kumpata na wengine hukata tamaa
 
Ukichagua sana nazi utatoka na koroma...binti akiona jamaa hawatangazi ndoa anajifanya nasubiri...heheheheh ndoa ya uzeeni haina raha,wenzio wamekula mshahara ww unakula pensheni.

duh! hataree
 
umetoka wapi mkuu!?mars;PERFECT MEN ARE ONE WITH MONEY A.K.A MAWE.WANAWAKE WA SS PESA KWANZA. HIYO perfect IKO MESEUM
 
Sindo hapo....utasubiri mpaka Yesu arudi! Kazi kujaza viti tuu kwenye harusi za wenzao
 
Back
Top Bottom