Eeeeeeh, wacha bwana !!! Ngoja tukuangalie na ww. Eti 45 (Sipati picha na hyo depreciation ya mwili wako) ?? Nikatoe mamilioni mahari kwa kongoro la 45, nilipeleke wapi ??? wakat kuna watoto wadogo wife terial chini yako wanaita mbayaaa. Unajua nyie wanawake mnashindwaga kujua kitu kimoja kwamba wanaume wana options nyingi ila kwenu nyie ndio mara nyingi mnasubiri mfuatwe. Anagalia usije ishia kuonjwa tu. Wata kuonja wee alaf hao wanaondoka !!
kuna wimbo wa nitasubir sijui nani kaimba
kuna wimbo wa nitasubir sijui nani kaimba
Naongezea: mwanaume hata awe na miaka 60 akionekana na kidada cha miaka 25 watu wanaona kawaida. Sipati picha huyo mwanamke wa miaka 45 akionekana na kijana wa miaka 30.
Wanawake wakumbuke wanaume wana options ya kuamua aoe nani na kwa wakati gani?
Naongezea: mwanaume hata awe na miaka 60 akionekana na kidada cha miaka 25 watu wanaona kawaida. Sipati picha huyo mwanamke wa miaka 45 akionekana na kijana wa miaka 30.
Wanawake wakumbuke wanaume wana options ya kuamua aoe nani na kwa wakati gani?
si sahihi hata kidogo kupima kwa kulinganisha wingi wa mazuri na uchache wa mapungufu, kilicho cha msingi kuliko chochote ni kwamba ukishampenda mtu jitahidi kujua mapungufu ama mabaya yake na ukifanikiwa kuyajua BASI JIPIME KAMA HAYO MABAYA AMA MAPUNGUFU YAKE YANAVUMILIKA, HATA KAMA ANA PUNGUFU MOJA TU LAZIMA UANGALIE KAMA LINAVUMILIKA KWA JINSI ULIVYO WEWE, MAANA HILO PUNGUFU MOJA KAMA HALIVUMILIKI MILELE BASI HIYO NDOA ITAKUFA MAANA ITAFIKA MUDA UTASHINDWA KUVUMILIA NA UNATAMKA ILE KAULI MAARUFU ZAIDI KWA WANAOACHANA, UTASEMA ''SASA NIMECHOKA''. hata kama mapungufu ya mtu ni mengi kuliko mazuri huyo mtu anafaa kuolewa na wewe ama kumuoa kama tu hayo mapungufu yote yanavumilika kwa kadri ulivyo.Nilikuwa some where baada ya kazi napata kinywaji na chakula pembeni yangu walikaa wasichana wanadscuss bout men.
But wote walichokuwa wanachangia ni mwanaume sahihi.
PERFECT men wa kuishi nao.kwa maongezi yao its like wote waliowapitia hawakufikia vigezo.
Girls and boys. Nataka niwaambie hivi you will never have perfect men.
Uzee utakukuta bado unamsubiri na hata kuja kamwe.
Maana hamna binadamU mkamilifu katika hii dunia labda uombe malaika.
Mtu anayekufaa na kukuoa furaha ktk njia yoyote ile huyo ni sahihi kwako kama anakupa furaha 85% na mauzi 15% huyo ni perfect kwako kama anakupa furaha 78% na 22% ni mauzi huyo ni perfect kwako hayo mapungifu madogo mnachukuliana mana jo one is perfect.
Happness and peace is everything guys!!!! Asikwambie mtu.
Ila pefect kwa kila kitu utasubiri sana nakwambia.
Msaada mzuri andika katika karatasi mazuri yote na mabaya yote ukiona upande wa mazuri ni mengi kuliko mabaya huyo ji sahihi kwako mrekabishe na kumchukulia katika machache mabaya ambayo ji udhaifu wake kama binadam.
out of that utajikuta una 60 yrs unasubiri perfect men akuoe.
This is fact.
So you need to think carefully .love ya all!!!!!
inawezekana tunatofautiana uelewa mimi naona hiyo 35 mnayosema wanawake ni wazee mbona mimi naona ndio wanaofaa zaidi?
labda challenge mbaya inayowakabiri ni swala la uzazi maana mimba after 35 years kwa mwanamke kuzaa mtoto tahaira si kitu cha ajabu.
kama bwn machache na mlimbwende J..
Well said mkuu, watangazie waelewe. Wacha wajikute watu wa nyodo wataishia kuzisoma plate number tu.
Sijakupata ndugu
mengi na klyn...age gap si unaiona,bwn mkubwa bado anadai japo umri umeenda
halafu wewe...
btw am not perfect...so why should i wait for a perfect man?
umebadilika sana
Anadai mi sifai kuolewa bora ale ujana..ya kweli hayo?