Ni lini CCM wamekubaliana na Wapinzani? Je CCM hawawapingi Wapinzani? Hili suala mbona linaangaliwaga upande mmoja tu? Una matatizo kwa kweli, kwa taarifa yako tu, kila mmoja Ni mpinzani wa mwenzake!Hapo kuna logic; maana huwezi Ukawa unapingana na kila mtu; hizo ni dalili za kuwa na matatizo
Whaaaaaat !!!!!!!Kupitia kipindi cha Jahazi,cha Clouds fm,Mbunge wa zamani wa Ukonga kwa tiketi ya CDM, Mwita Waitara amesema wanasiasa wanaodumu kwa muda mrefu kwenye chama kimoja ni "Manungayembe".
Waitara amesema huwezi kuwa awamu zote we upo upinzani tu lazima ubadilike..."huwezi kuwa miaka yote upo upinzani tu kaja Nyerere we ni mpinzani, kaja Mwinyi we ni mpinzani, kaja Mkapa bado uko upinzani, mzee Kikwete we upo upinzani hadi Magufuli bado unapinga tu we huwezi kuwa mwanasiasa we ni Nungayembe tu" amesema Waitara.
Waitara alijiuzulu nafasi yake ya ubunge na kujivua uanachama wa Chadema na kujiunga na CCM mapema mwezi huu, kwa madai ya kuunga mkono juhudi za rais Magufuli
Yule anakaa kwa kokwa la embe yaani tangu ua mpaka embe inaivanunga yembe ndo ndo mdudu gan?
Daah jamaa kwa lugha ya kigeni wanasema RETARDED!!!hili swali Gadner na Kibonde pia wamehoji je Mzee Msekwa nae ni Nung'ayembe? Nyerere? Mwinyi? Mkapa? Kikwete?
Janamke gume gume,limala.ya flani hivi lenye viwango vya ukahaba dizaini ya kina sister fey yani haielezeki kirahisi rahisi
Huyu Jamaa atakuwa huwa anaoa na kuacha au anamichepuko countless!Kupitia kipindi cha Jahazi,cha Clouds fm,Mbunge wa zamani wa Ukonga kwa tiketi ya CDM, Mwita Waitara amesema wanasiasa wanaodumu kwa muda mrefu kwenye chama kimoja ni "Manungayembe".
Waitara amesema huwezi kuwa awamu zote we upo upinzani tu lazima ubadilike..."huwezi kuwa miaka yote upo upinzani tu kaja Nyerere we ni mpinzani, kaja Mwinyi we ni mpinzani, kaja Mkapa bado uko upinzani, mzee Kikwete we upo upinzani hadi Magufuli bado unapinga tu we huwezi kuwa mwanasiasa we ni Nungayembe tu" amesema Waitara.
Waitara alijiuzulu nafasi yake ya ubunge na kujivua uanachama wa Chadema na kujiunga na CCM mapema mwezi huu, kwa madai ya kuunga mkono juhudi za rais Magufuli
hahahahaaa eti kiharage😀😀😀Huyu anawaaibisha sana akina tata mura. Kama kahama wenzie wamekaa kmya mbona kiharage hakiishi kumuwasha??
Kibisa huru jamaa anakuwa kama sio mura mami.hahahahaaa eti kiharage😀😀😀