Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,812
- 40,419
Hao wengine sijui, ila Mkapa ni Nungayembe.hili swali Gadner na Kibonde pia wamehoji je Mzee Msekwa nae ni Nung'ayembe? Nyerere? Mwinyi? Mkapa? Kikwete?
Hao wengine sijui, ila Mkapa ni Nungayembe.hili swali Gadner na Kibonde pia wamehoji je Mzee Msekwa nae ni Nung'ayembe? Nyerere? Mwinyi? Mkapa? Kikwete?
Huyu anamatatizo ya kisaikolojia
Je walioko CCM kuanzia 1977 mpaka leo waitweje?
hili swali Gadner na Kibonde pia wamehoji je Mzee Msekwa nae ni Nung'ayembe? Nyerere? Mwinyi? Mkapa? Kikwete?
Amewatusi wanaccm wengi plus big boss. Hao hawajawahi kuhama ccm, kwa hiyo ni manungayembe? CCM take care of WaitaraHahahaha
Eti manungaembe uwiii
Alijibu nini Mkuu ?
huyu kijana laana inamsumbua. Ina maana anawatusi wale walikulia kijani mpaka wanazeeka hukohuko. huyu hana adabu. Hastahili kuchaguliwa tena.Yaani sijui jamaa amekuahe, Ni kheri angekaa kimya tu.
huyu kijana laana inamsumbua. Ina maana anawatusi wale walikulia kijani mpaka wanazeeka hukohuko. huyu hana adabu. Hastahili kuchaguliwa tena.
walihoji offline,wakati waitara ashakata simuAlijibu nini Mkuu ?
Huyo ndio imetoka hiyo jina lisipotoka anakula uRC.Anamaanisha jina lisipopita mwaka 2020 atarudi upinzani?