Waitara: Wafuatao wanahama CHADEMA

Utakuwa ulipolazwa umemuona mtu anaimba Cocochanel wa JF mzuriiiii.. ukafikiri ni mimi..
Endelea tu kukaa humo wodini aiseee.. weww unaimba 'Lissu Mbowe n.k. pesa za ruzuku sio zenu wenyewe huku unaliaaaa'
Jioni hii tukuletee nini ewe "cocomtaro "?Tukileta chai kwa matembele utafurahi? Au juisi ya bamia?
 
Koki mlifungua wenyewe sasa inatoa maji na Vyura tena mfululizo mnapiga kelele!?
Usianzishe ugomvi kama huna Nguvu
 
Hahahaha
Chadrama kwishney walahi
That’s all
Chadema si wabunge bali mioyo ya watu ina falsafa gani?leo cuff haina wawakilishi kwenye Baraza la wawakilishi cuff imekufa?lipumba karukuza wabunge wateuliliwa kumi je cut imekufa,lipumba kahamia ofisi ya buguruni je cuf imekufa?
kimsingi kujenga chama ni falsafa na muono wa muda mretu,kwa leo kbona yapo mengi tu ambayo upinzani ndo fapsafa yake.Hivyo kufa upinzani hakupo
 
Watu waliowapa kura upinzani ni zaidi ya million 6. Hawa ndio wanaopenda mabadikiko, ndio nguxo ya upinzani. Sio Waitara n wenzake wanaonunulika, wanaendekeza shida zao n matumbo yao. Hata wakinunuliwa wote wabunge wa upinzani bado Chadema itakuwepo n watapatikana wabunge wengine. Lkn yote haya yana mwisho wake. Kikwete, Mkapa hawakufanya haya. Ni imani yangu atakunya mwingine hata yafanya haya.
 
sijawahi kuona mkurya mwanaume anayeongea kama mke wa mtu kama huyu Waitara ! hivi hivi hela wanazohongwa zimewekwa limbwata ?
 

You got it right buddy.
Ule mpango uliosemwa wa "Kumpiga mchungaji ili kondoo wasambaratike" umekuwa mgumu kuutekeleza au unachelewa, na wao wana haraka ya kuona matokeo. Mbowe kafanyiwa kila aina ya vurugu, lakini hateteleki. Sasa turufu wamewekeza kwenye kesi ya uhanini na haya mengine ya kuwanunua wabunge. Yote haya hayatafanikiwa. Matokeo yanaweza kuwa CHADEMA imara zaidi inaweza kutokea baada ya kuzishinda mbinu ovu hizi zidi yake.
CHADEMA wasisahau. Wananchi wa Tanzania ndio kila kitu kitakachoamua uwepo wao au la. Bidii ziendelee za kuwafikia wananchi hao na kuwapa taarifa ya hali halisi ya siasa nchini mwetu. Wasichoke na wala wasitishike na majaribu mengi yanayowakabili kuwazuia wasifanye hivyo.
 
Tarime Mkurungezi anagoma kuapisha mawakala wa Chadema. Inasikitisha uhuni huu unaoendelea kwenye nchi.
Hakuna tena uchaguzi katika nchi hii maana tunaoshindana nao hawawezi tena kushinda kwa wananchi.
 
Jafari na Komu je ni vitisho vya kuuliwa ama kujengewa hoja mbaya kuhusu biashara zao????????
Kwa vingine haiwezekani!
Mkurugenzi wa NHC alishindwa kumtetea Mbowe katika mkataba ambao ni halali. Mahakana nayo yalishindwa. Leo mkurugenzi yule yuko wapi. Na kesho yule hakimu aliyeshindwa kutetea haki naye atatungiwa lake!
Hii ndiyo Tz ya leo!
 
RETARDED !!!!!!!
 
Mkuu wa wilaya na ubunge nafasi IPI inalipa?
 
Kwa maelezo ya kubenea ya juzi kati nahisi atastafu SIASA
 
Kula like, umeongea fact, ndio raha ya jf, hasa watu free mind kama nyinyi.
 
Huyu jamaa nilijuwa anaakili timamu

Lakini kweli kabisa kichaa sio lazima kuokota makopo

God forbid.
Shida ya waTanzania kadhaa hua mnadhani wapinzani ni miungu.wale ni wasanii tu na mtakuja kustuka baadae
 
Si angehama akatulia kama wenzie akina Mtulia na Kafulila. Katoka kwa mbwembwe na mashambulizi lukuki kwa Chadema lakini Chadema hawajamjibu lakini bado anaendelea tu kuropoka. Ngoja watu wa ukonga watamwonyesha.
Watamnyoosha vip mkuu wakati anasubiri kutangazwa tu? Au bado unaamini katika ushindi wa sanduku la kura?
 
Unapoona matendo na maneno ya watu kama Mwita Waitara ndipo unapoamini ni kweli Shetani Ibilisi aliwahi kuwa Malaika. Hivi huwezi kuondoka kimya na ukaendelea na 50 zako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…