johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,131
Waitara unajitoa ufahamu? Mwenyekiti Cc Mara amesema hakutaki,Ukonga ndio hivyo tena Malipo hapa hapa duniani Ahera ni kulalaNaibu waziri. wa Tamisemi Mwita Waitara amesema NEC ni Tume huru ya uchaguzi, watakaosusa wasuse lakini wengine watakula.
Source: Malumbano ya Hoja mubashara
Kwani mwenyekiti ndio anachagua wabunge wa mkoa?Waitara unajitoa ufahamu? Mwenyekiti Cc Mara amesema hakutaki,Ukonga ndio hivyo tena Malipo hapa hapa duniani Ahera ni kulala
Sent using Jamii Forums mobile app
Waitara, watu waliumizwa kwa ajili yake leo anawakejeli !! Binaadamu ni mnyama mbaya sana.Naibu waziri. wa Tamisemi Mwita Waitara amesema NEC ni Tume huru ya uchaguzi, watakaosusa wasuse lakini wengine watakula.
Source: Malumbano ya Hoja mubashara
Mara watu si wanafki kiivyo nimezaliwa huko nawajuwa. Hebu na ajeKwani mwenyekiti ndio anachagua wabunge wa mkoa?
Kuna kitu amesahau kusema kuwa kote walikogombea wapinzani walitangazwa kwa mbinde.Naibu waziri. wa Tamisemi Mwita Waitara amesema NEC ni Tume huru ya uchaguzi, watakaosusa wasuse lakini wengine watakula.
Source: Malumbano ya Hoja mubashara
Hivi Waitara ni mzima ? huyu alikuja Chadema baada ya kukimbia kazi mpya aliyopewa ya kumpikia chai Nchimbi UVCCMNaibu waziri. wa Tamisemi Mwita Waitara amesema NEC ni Tume huru ya uchaguzi, watakaosusa wasuse lakini wengine watakula.
Source: Malumbano ya Hoja mubashara
nilitoa pesa zangu kumnunulia pikipiki Waitara kapuku aliyekuwa ChademaDaah kweli aliye juu hamkumbuki aliye chini,watu walivyoteseka usiku kucha kukupigania utangazwe mshindi leo unawatusi kiasi hiki?Kamwe mwanasiasa aliye hai hawezi kuwa role modal wangu,sitaki pressure!
Naunga mkono hoja, NEC ni Tume Huru ila sio inclusive!.Naibu waziri. wa Tamisemi Mwita Waitara amesema NEC ni Tume huru ya uchaguzi, watakaosusa wasuse lakini wengine watakula.
Source: Malumbano ya Hoja mubashara
Subiri kuwa msemaji wa serikali!Naunga mkono hoja, NEC ni Tume Huru ila sio inclusive!.
Watu serious hawahangaiki na siasa za Tanzania na nchi za Afrika kwa jumla. Kwanini?Naibu waziri. wa Tamisemi Mwita Waitara amesema NEC ni Tume huru ya uchaguzi, watakaosusa wasuse lakini wengine watakula.
Source: Malumbano ya Hoja mubashara
Mbona alishawaaga anakwenda Tarime vijijini kumfurusha John Heche wa Chadema!Aende akawaage kabisa wana Ukonga, maana hapati tena ubunge
NI KWELI WATAKAOSUSA WAJUE TUTAWAPUZA WANAOLALAMIKA NI WALE TUME HII ILIWATANGAZA WASHINDI SASA KWA KUWA WAMESHINDWA KUSIMAMIA ILANI ZAO NA KUWATELEKEZA WANANCHI WANASEMA TUME SIO HURU MAANA WANAJUA WAKIGOMBEA WANANCHI TUNA HASIRA NAONaibu waziri. wa Tamisemi Mwita Waitara amesema NEC ni Tume huru ya uchaguzi, watakaosusa wasuse lakini wengine watakula.
Source: Malumbano ya Hoja mubashara