Wenyeji wanalia tuHivi kina Bona Karua na wengine wakongwe ccm wanajisikiaje kuwekwa back bencha na new comers?
tembea kifua mbele " tupo kwenye right trackNajiuliza mtu anapotoka huko Ukawa kuja kwenye chama chetu na kupewa Uwaziri ina maana sisi humu hatutoshi au
Huna hati miliki ya chama,mtu yeyote anaweza kuteuliwa na boss wa nchi kushika nafasi yoyote serikalini.Najiuliza mtu anapotoka huko Ukawa kuja kwenye chama chetu na kupewa Uwaziri ina maana sisi humu hatutoshi au
Mbona Lowasa alitoka Ccm akaenda ukawa akapewa kiti cha kugombea Uraisi yani ni michezo ndani michezoNajiuliza mtu anapotoka huko Ukawa kuja kwenye chama chetu na kupewa Uwaziri ina maana sisi humu hatutoshi au
Musiba inabidi ajiongeze akae ikitambua kuwa siyo Kila upuzi na majungu atakayo yaongea kwenye Media Kila mtu atayaamini atagombana na watu sababu ya kutaka madaraka serikalini,na atasubiri sana.Namhurumia sana cyprian musiba
Mbona husemi wabunge wa ccm ambao wanaishia kusema ndiooooo???Duh, waitara kawa naibu waziri anakila dabo salary huku kina zitto bado wanapambana na polisi. Aisewww
kwahiyo hutaki upinzani uwepo unataka wote wahamie huko?Duh, waitara kawa naibu waziri anakila dabo salary huku kina zitto bado wanapambana na polisi. Aisewww
Hahahaha atakula za ubungeHuyu mzeee ana loho mbaya mwaijage Alisema yeye ni yatima na anafamilia inamtegemea sasa ataishije jamani asije akaji hang