HahahahaKuteuliwa kwa Waitara na wengine waliotoka upinzani ni ishara tosha kuwa waliokuwa wanatakiwa kuongoza nchi ni wapinzani.
Waliopo Upinzani wengi ni system, mzee babaHuyu Waitara walimchunguza lini. paap kateuliwa kugombea.
paap kawezeshwa kushindwa na sasa ni waziri.
Hiyo siyo Waziri, ni naibuKwani Baraza la baba J lina mawaziri wangapi ukijumlisha na makatibu wakuu na manaibu katibu?