WAITARA ATEULIWA UNAIBU WAZIRI TAMISEMI.

WAITARA ATEULIWA UNAIBU WAZIRI TAMISEMI.

Kila siku teuzi,uchumi wa kati tutafika lini sasa??
 
Viva magufuli,the president of my soul,you are doing what is in my head,keep on moving Mr.
 
2020 tutaona mengi kuliko haya.. Wachawi wa bongo fanyeni kazi yenu kwa kichaa au hamuoni hali ni mbaya
 
Ccm asilia hali yenu mnaijua wenyewe jiwe aendelea kuwakanyaga na kuteua wazamiaji aliowanunua showroom
 
Mwenyekiti wa bodi ya korosho alijifanya kupiga mkwara,ndio sababu katumbuliwa
 
IMG_20181110_205632_031.jpg
 
Safi sana , waitara ni mchapakazi ,ndio maana akatafuta platform nzuri afanye maendeleo, nyie chadema endeleen kupiga majungu, mliitwa muunge juhudi mkagoma, walioenda wameula mmeanza MAJUNGU
 
kumbe dahaaaa inch hiii hawa viongozi wetu sijui wanatupeleka wapi mbwembwe zote kumbe aliahidiwa uwaziri
 
Back
Top Bottom