WAITARA ATEULIWA UNAIBU WAZIRI TAMISEMI.

WAITARA ATEULIWA UNAIBU WAZIRI TAMISEMI.

Daaaa aisee yani hapo hata walioteuliwa wanatamani kukataa maana wanajua mziki wa mzee baba.
 
Hahahaha
Wewe imbecile kweli walahi
Roho zinawauma hahahaha mbaya zaidi hamna pa kusemea..... Konyo zenu kabisaaa Hahahha yaani Mtu mliemuita nyumbu Leo ndio Waziri na nyie mmekalisha "biology" zenu tu mnakenua. Eti ndio CCM kuna demokrasia Nyoooo
 
Hongera Kijana Waitara tunataka kazi sio siasa
 
Back
Top Bottom