Waitara acha kumchonganisha Rais na walimu,CCM halisi hatuko hivyo

digba sowey

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
7,871
14,293
Habari wakuu,hamjambo?

Naomba kumtolea uvivu Huyu bwana,Leo amenukuliwa bungeni kuwa eti wizara yake imesitisha uhamisho kwa walimu kwa kigezo kuwa sababu za walimu hao kuomba uhamisho ni za uongo.Naomba nikiri kuwa Mh waitara anachokifanya ni kumchonganisha Mh.Rais na watumishi Wa umma ili aonekane kuwa ana vunja taratibu na kanuni za watumishi,ikumbukwe kuwa uhamisho ni haki ya mtumishi na upo kisheria.

Binafsi naona mh kashiba madaraka,kasahau kuwa yeye mwenyewe alihama toka CHADEMA na kuja CCM akidai kuwa ni haki yake kuhama,na sasa anaanza kuvuruga morali ya watumishi kwa matamko ya ajabu ,naomba atambue kuwa uhamisho ambao hauna usumbufu ni ule wa watumishi kubadilushana ,kwani huu hausababishi uhaba Wa watumishi ,kama anaona sababu za walimu hawa ni za uongo naomba serikali iruhusu uhamisho Wa kubadilishana ili kutoa nafuu kwa watumishi au walimu ambao mazingira wanayofanyia kazi sio rafiki kwao.

Naomba nikiri kuwa Mwaka 2015 nilikuwa nafanya kazi serikalini nikiwa Lindi,Liwale,hakika nilikata tamaa na morali ya kazi ilipotea nikawa naenda kazini ilimradi,ilifikia kipindi nikaamua kuacha kazi kutokana na mazingira kutokuwa rafiki,nilipomwandikia mkurugenzi nikimwomba uhamisho alikataa kunipa uhamisho kwa Sharti la kutafuta mtu wa kubadilishana naye,Mungu saidia nilihama.

Maoni Yangu napenda kuitaka/kuiomba Serikali iruhusu uhamisho kwa watumishi wa umma walau kwa sharti la kubadilishana

N.B.Waitara kumbuka sababu zako za kuhama toka CHADEMA kuja CCM ni hizo hizo sabaabu zinazowafanya watumishi kuhama toka Kituo A kwenda B
 
Ha ha ha haaaa sababu Ni zile zile kweli kabisa mkuu nimependa kwenye sababu
 
umeandika vizur Sana mm mwenyewe niliacha kazi kwa sababu za kipuuzi kama hizo. sasa unaniambia nimtafute wa kubadilishana nae kwani mm Hr? nikifa je nitabadilishana na nani?
 
Habari wakuu,hamjambo?

Naomba kumtolea uvivu Huyu bwana,Leo amenukuliwa bungeni kuwa eti wizara yake imesitisha uhamisho kwa walimu kwa kigezo kuwa sababu za walimu hao kuomba uhamisho ni za uongo.Naomba nikiri kuwa Mh waitara anachokifanya ni kumchonganisha Mh.Rais na watumishi Wa umma ili aonekane kuwa ana vunja taratibu na kanuni za watumishi,ikumbukwe kuwa uhamisho ni haki ya mtumishi na upo kisheria.

Binafsi naona mh kashiba madaraka,kasahau kuwa yeye mwenyewe alihama toka CHADEMA na kuja CCM akidai kuwa ni haki yake kuhama,na sasa anaanza kuvuruga morali ya watumishi kwa matamko ya ajabu ,naomba atambue kuwa uhamisho ambao hauna usumbufu ni ule wa watumishi kubadilushana ,kwani huu hausababishi uhaba Wa watumishi ,kama anaona sababu za walimu hawa ni za uongo naomba serikali iruhusu uhamisho Wa kubadilishana ili kutoa nafuu kwa watumishi au walimu ambao mazingira wanayofanyia kazi sio rafiki kwao.

Naomba nikiri kuwa Mwaka 2015 nilikuwa nafanya kazi serikalini nikiwa Lindi,Liwale,hakika nilikata tamaa na morali ya kazi ilipotea nikawa naenda kazini ilimradi,ilifikia kipindi nikaamua kuacha kazi kutokana na mazingira kutokuwa rafiki,nilipomwandikia mkurugenzi nikimwomba uhamisho alikataa kunipa uhamisho kwa Sharti la kutafuta mtu wa kubadilishana naye,Mungu saidia nilihama.

Maoni Yangu napenda kuitaka/kuiomba Serikali iruhusu uhamisho kwa watumishi wa umma walau kwa sharti la kubadilishana

N.B.Waitara kumbuka sababu zako za kuhama toka CHADEMA kuja CCM ni hizo hizo sabaabu zinazowafanya watumishi kuhama toka Kituo A kwenda B
Moja ya watu ambao Nina mashaka nao juu utimamu wao ni huyu jamaa
 
Na hapo bado lazima atawakoroga sana ccm ndiyo wajue kuwa kumkaribisha mwenye njaa ni hatari
 
Mleta mada ni mwl wa shule za kata kule dongobesh....Hajui kada zingine zaida ya waalimu, msamehe bure.
Waziri kaongelea uhamisho wa waalimu, wewe unataka mleta mada apotoshe kwa kuleta habari za watumishi wengine ambao hawajaongelewa. Kama mleta mada anafundisha dongobesh basi wewe utakuwa katibu wa ccm kata ya machochwe
 
Habari wakuu,hamjambo?

Naomba kumtolea uvivu Huyu bwana,Leo amenukuliwa bungeni kuwa eti wizara yake imesitisha uhamisho kwa walimu kwa kigezo kuwa sababu za walimu hao kuomba uhamisho ni za uongo.Naomba nikiri kuwa Mh waitara anachokifanya ni kumchonganisha Mh.Rais na watumishi Wa umma ili aonekane kuwa ana vunja taratibu na kanuni za watumishi,ikumbukwe kuwa uhamisho ni haki ya mtumishi na upo kisheria.

Binafsi naona mh kashiba madaraka,kasahau kuwa yeye mwenyewe alihama toka CHADEMA na kuja CCM akidai kuwa ni haki yake kuhama,na sasa anaanza kuvuruga morali ya watumishi kwa matamko ya ajabu ,naomba atambue kuwa uhamisho ambao hauna usumbufu ni ule wa watumishi kubadilushana ,kwani huu hausababishi uhaba Wa watumishi ,kama anaona sababu za walimu hawa ni za uongo naomba serikali iruhusu uhamisho Wa kubadilishana ili kutoa nafuu kwa watumishi au walimu ambao mazingira wanayofanyia kazi sio rafiki kwao.

Naomba nikiri kuwa Mwaka 2015 nilikuwa nafanya kazi serikalini nikiwa Lindi,Liwale,hakika nilikata tamaa na morali ya kazi ilipotea nikawa naenda kazini ilimradi,ilifikia kipindi nikaamua kuacha kazi kutokana na mazingira kutokuwa rafiki,nilipomwandikia mkurugenzi nikimwomba uhamisho alikataa kunipa uhamisho kwa Sharti la kutafuta mtu wa kubadilishana naye,Mungu saidia nilihama.

Maoni Yangu napenda kuitaka/kuiomba Serikali iruhusu uhamisho kwa watumishi wa umma walau kwa sharti la kubadilishana

N.B.Waitara kumbuka sababu zako za kuhama toka CHADEMA kuja CCM ni hizo hizo sabaabu zinazowafanya watumishi kuhama toka Kituo A kwenda B
Unafikiri kubadilishana ni kazi rahisi eeh! Yaan hadi umpate wa kuabdilishana naye unajua hiyo process.

Kikubwa ushauri uhamisho uwepo kwa taratibu tu. Na uhamisho upo wa aina nyingi. Onba uhamisho uwepo wa aina yoyote na taratibu zifatwe bhasi.

Munguni wetu sote, Anasikiliza Maombi ya wana wake
 
Hii ni dhulma, ajabu iliyoje kuna siku alikuja Azania na tukamuona ni moja wa mashujaa waliosoma pale ila siku hizi sielewi anawaza nini kichwani mwake
 
tangia amepewa unaibu waziri anaongea pumba tu, anamharibia Jafo TAMISEMI yake.
 
Unafikiri kubadilishana ni kazi rahisi eeh! Yaan hadi umpate wa kuabdilishana naye unajua hiyo process.

Kikubwa ushauri uhamisho uwepo kwa taratibu tu. Na uhamisho upo wa aina nyingi. Onba uhamisho uwepo wa aina yoyote na taratibu zifatwe bhasi.

Munguni wetu sote, Anasikiliza Maombi ya wana wake
Amen
 
Back
Top Bottom