Pasipo na mchaga hakuna maendeleo?!Ni kweli kabisa popote palipo na mchaga lazma kuwe na maendeleo
Wadau:
Nianze bandiko langu hili kwa kusema kwamba mimi sio mbaguzi wa rangi, kabila,dini au ukanda.Ninauchukia ubaguzi na ninamchukia mtu mbaguzi.Mimi ni Mtanzania mzalendo ninaipenda nchi yangu na serikali yake.
Ila ninawiwa kutoa ushauri wangu wa kiroho ambao wengi mnaweza kuutafsiri kama wa kibaguzi lakini sio na unaukweli mkubwa ndani yake.
Ushauri wangu kwa mkuu wa kaya yetu
Ninakushauri mkuu kama unataka kufanikiwa sana kiuchumi na kisiasa uwashirikishe katika serikali yako kuanzia ngazi ya uwaziri na nyanja mbalimbali za uongozi na ushauri katika serikali yako watu kutoka miteremko ya mlima Kilimanjaro
Hawa ni watu wanaofanya kazi kwa bidii na wanajua maendeleo na uchumi ni nini..
Ukifanya utafiti wa haraka kuanzia ngazi ya familia na sehemu mbalimbali ambapo hawa watu wamepewa nafasi ya kuongoza utaona zimefanikiwa sana na utapata mantinki ya ushauri huu.
Nathubutu kusema hawa ni watu waliobarikiwa sana kama Wana wa Israeli kutoka mashariki ya mbali ndio maana ninawaita 'Waisraeli wa Tanzania
Huu ni ushauri wa kiroho zaidi na pale utakapoona vema kuufanyia kazi ushauri huu basi utaona uongozi wako utakavyoshamiri na kufanikiwa sana.
Wasalaam
Wako katika Ujenzi wa Taifa.
Naona ni watu waliobarikiwa kwa namna ya tofauti..ukifanya utafiti wako mdogo utaona sehemu ambayo wapo hawa watu inabarikiwa sana na kustawi..hata awepo mmoja we chunguza kunatofauti au mchango wa tofauti wanafanya au wanaletaKwanini unawaita waisraeli ?
Nawasiwasi na elimu yako pamoja na maarifa uliyonayo kichwani !!!!!!Lowassa alipata kura 6m. Mikoa hiyo miwili jumla yao ni 6m. Ni wao waliomtupa Magu waliona si mmoja wao. Ikafikia hata Mwanri wakamwibia kura zake siha. Maaskofu wakamfata Katibu Mkuu utumishi na Sumaye waongeze nguvu. Kuna empirebuilding hapa inabido gesture ianzie kwao waliomkataa.
Unafanya kazi gani mpaka ulengeshwe ?sijawah salitiwa na rafk yang yyte wa karbu isipokuwa uyu tu na siku zote huwa akiona tu pesa unamuona kabisa anachanganyikiwa, ndio wachaga waliovyo, ni watu wa ajabu tang kuumbwa kwa mising ya dunia kweny swala la hela, najua hutoamini mpk siku likutokee, sio watu hao ni wanyama
wewe sio kaz yak kujua nafanya kaz gan, maadam ujumbe nlioukusudia umeupata inatoshaUnafanya kazi gani mpaka ulengeshwe ?
Kwanza hawakaribiani na wayahudi kimaendeleo wala katika kuyachagiza wala katika kutumia maarifa na pili wachagga wa sasa si wale wa kipindi cha kina mangi.Kwanini mkuu unasema ni upuuzi.
Wanaweza wasiwafikie Wayahudi kimaendeleo lakini ukilinganisha mafanikio yao na watu wa sehemu nyingine unaona wanakitu cha tofauti.Mimi nimejaribu kufanya kautafiti kadogo tu na nimeona hiloKwanza hawakaribiani na wayahudi kimaendeleo wala katika kuyachagiza wala katika kutumia maarifa na pili wachagga wa sasa si wale wa kipindi cha kina mangi.
Ni upuuzi zaidi kuamua kujifananisha na (kuwatukuza) wengine badala ya kujifunza toka kwao ili uwe bora na ikibidi hata zaidi yao.
Huenda wewe ni mmoja wa wale wanaoweka bendera za Israel kwenye maeneo yao hasa magari mkijua mnabarikiwa kumbe ujinga tu.
Amka changamka na funguka