Waisraeli wa Tanzania

Waisraeli wa Tanzania

Hilo ni mojawapo ya mapungufu yao ila wapo wengi ambao sio wezi..kila jamii inawatu wenye hulka na tabia mbalimbali ila hilo haliwaondelei ile talanta waliyo nayo na baraka zinazoambatana na vizazi vyao.
We utakuwa MCHAGA
 
Lowassa alipata kura 6m. Mikoa hiyo miwili jumla yao ni 6m. Ni wao waliomtupa Magu waliona si mmoja wao. Ikafikia hata Mwanri wakamwibia kura zake siha. Maaskofu wakamfata Katibu Mkuu utumishi na Sumaye waongeze nguvu. Kuna empirebuilding hapa inabido gesture ianzie kwao waliomkataa.
Walidiriki kuchangisha pesa kila mkoa kusaidia kampeni za lowasa....kila mtu ana akili ila zao ni za ubinafsi sana
 
Hao hao ndo walitaka kumchagua lowassa Kisa anatokea Kaskazini bila kujali uwezo wake.
Hao hao ndo waliifanya bandari kijiji chao...
Hao hao ndo walijimilikisha TRA
...Kusema kweli umefirisika kifikra....ukabila umekutawala,,Unahitaji maombezi tena kwa Watumishi wa Mungu walio bobea
Kwa hiyo mkuu bandari nzima walikuwa ni wao,tra yote ni wao..aaaha mkuu..punguza kidogo kama
Basi utasema "eskro", "lugami".."richemondi"...ni wao pia mkuu...punguza chuki ndugu...Mimi ninahitaji maombi kweli ila so katika hili..nimesema mwanzoni kwamba ukiwaangalia hawa watu kwa namna ya tofauti kuna baraka zinaambatana nao kama za Wayaudi..hiyo ndio hoja yangu..na nikasema hili ni jambo la kiroho zaidi..ila una haki ya kukataa kwa hoja na kwa jinsi unavyoona wewe.
Mimi ninachukia ubaguzi wa aina yoyote ile...Mimi si mbaguzi na sipendi kubaguliwa na ninakusihi na wewe pia usiwe mbaguzi
 
Kama masamaki wa TRA?
Laiti mleta uzi angekuwa sahihi basi nchi yetu isingekuwa maskini .....Angalia ni mawaziri wakuu wangapi wametoka huko ,,,mawaziri wa kawaida....Nenda TRA...TPA....na sekta mbalimbali wamejaa wao....
Nadiriki kusema wamehusika kwa asilimia zaidi ya 50 kulifanya taifa libaki kuwa masikini
 
Kama wanaweza biashara na mtu yoyote na mahali popote mpaka kwenye mipaka ya kijiji chenu, huo ubinafsi na ubaguzi unatoka wapi?

Wewe unachuki binafsi, let it go, its time to move on
Ni wezi wazuri wa rasilimali za taifa.....hawafai kabisa kuigwa
 
Wadau:
Nianze bandiko langu hili kwa kusema kwamba mimi sio mbaguzi wa rangi, kabila,dini au ukanda.Ninauchukia ubaguzi na ninamchukia mtu mbaguzi.Mimi ni Mtanzania mzalendo ninaipenda nchi yangu na serikali yake.

Ila ninawiwa kutoa ushauri wangu wa kiroho ambao wengi mnaweza kuutafsiri kama wa kibaguzi lakini sio na unaukweli mkubwa ndani yake.

Ushauri wangu kwa mkuu wa kaya yetu
Ninakushauri mkuu kama unataka kufanikiwa sana kiuchumi na kisiasa uwashirikishe katika serikali yako kuanzia ngazi ya uwaziri na nyanja mbalimbali za uongozi na ushauri katika serikali yako watu kutoka miteremko ya mlima Kilimanjaro

Hawa ni watu wanaofanya kazi kwa bidii na wanajua maendeleo na uchumi ni nini..
Ukifanya utafiti wa haraka kuanzia ngazi ya familia na sehemu mbalimbali ambapo hawa watu wamepewa nafasi ya kuongoza utaona zimefanikiwa sana na utapata mantinki ya ushauri huu.

Nathubutu kusema hawa ni watu waliobarikiwa sana kama Wana wa Israeli kutoka mashariki ya mbali ndio maana ninawaita 'Waisraeli wa Tanzania
Huu ni ushauri wa kiroho zaidi na pale utakapoona vema kuufanyia kazi ushauri huu basi utaona uongozi wako utakavyoshamiri na kufaniki
Wasalaam
Wako katika Ujenzi wa Taifa.
fikra za mpumbavu huzaa upumbavu, endelea kuwaza kama kenge
 
Kashfa nyingi za kifisadi epa,iptl, dowans, escrow wapo watu wakabila mengine, kama wapo waisrael naomba unitajie?
Nna uhakika unamjua vizuri yule mkuu wa mkoa alosema hakuna watumishi kumbe wapo..
Nina uhakika unajua vizuri kuwa mmehamishia vijiji vyenu TRA na TPA na huko ndo wizi unaongoza
Kila wizi unaouona kuna hao watu nyuma yake....
Wameenda mbali zaidi kwa kutaka kuiba misaada ya wahanga wa tetemeko Kagera....
 
Kama wanaweza biashara na mtu yoyote na mahali popote mpaka kwenye mipaka ya kijiji chenu, huo ubinafsi na ubaguzi unatoka wapi?

Wewe unachuki binafsi, let it go, its time to move on
Hawa jamaa wangekuwa wabinafsi wasingekuwa wametapakaa hivyo kwani mbinafsi hana tofauti na mchoyo na kama ujuavyo mchoyo hana rafiki,wachaga wametapakaa kila mahali na wamefanya maendeleo makubwa,sasa hvi mini mingi wameiteka kwa mabiashara makubwa makubwa ukimtokomeza mchaga Tz Hamna Tz huo ndio ukweli na utabaki kuwa hivyo, Wachaga wako juu acha ubishi wa kitoto.
 
fikra kama hizi ndizo zinazo kifanya chama cha chadema kushindwa kujipambanua kama chama cha kitaifa, na hatimaye kitakufa kwa fikra za kipumbavu kama zako. tatizo la watu hawa wameweka fedha mbele kuliko kazi hasa serikalini yuko radhi kulihujumu taifa kwa shilingi mia tano tu, tumeshuhudia walipotufikisha na kuharibu nchi hasa katika maeneo ya TRA, TPA kila kona walikuwa wanaiba sasa cha moto wanakipata waje kwenye fair ground watanyoka tu.
 
Wachagga ni wachapakazi sana, wapo hapo udsm na muhimbili kwa ajili ya kufanya kazi, wewe fanya kazi kama wao, acha kulalama,

Hapa kazi tu
Wachapa kazi wapi wakati wanapeana vyeo bila kujali sifa?
 
Hawa jamaa wangekuwa wabinafsi wasingekuwa wametapakaa hivyo kwani mbinafsi hana tofauti na mchoyo na kama ujuavyo mchoyo hana rafiki,wachaga wametapakaa kila mahali na wamefanya maendeleo makubwa,sasa hvi mini mingi wameiteka kwa mabiashara makubwa makubwa ukimtokomeza mchaga Tz Hamna Tz huo ndio ukweli na utabaki kuwa hivyo, Wachaga wako juu acha ubishi wa kitoto.
Wana akili za ulaghai tu...wameshiriki kuifanya Tanzania kuwa masikini sana
 
Wachaga na wayahudi wanafanana sana kitabia,kwa kupiga ndo wenyewe,halafu huwezi kula hela ya myahudi kirahisi rahisi tu,ila yeye anataka akupige,
juzu netanyau kaja africa,wakadhani atawaachia hata dola 50,wapi ndugu yangu,jamaa ni bahili mnooo......
 
Wanaweza kuwa na mapungufu fulani fulani mkuu kama binadamu lakini kuna ukweli usiofichika kuhusu uwezo wa hawa watu na baraka zinazoambatana nao.fanyia kazi hili unaweza kujifunza kitu..fuatilia hata wasichana wao ambao wameolewa na watu kutoka sehemu nyingine uone familia zao na watoto wao zilvyobarkiwa
Tatizo palipo na mwanya hawafanyi makosa tehe tehe tehe shemeji zangu buana
 
Back
Top Bottom