Kweli kabisa mkuu,kule muhimbili wamejaa pale udsm ndio usiseme hadi wanakera aisee
Wanakukera nini kama walikuwa na sifa za kuwepo maeneo hayo nani aliwapendelea ?
Kweli kabisa mkuu,kule muhimbili wamejaa pale udsm ndio usiseme hadi wanakera aisee
Kusedma kweli kwa wachaga kuwa wabinafsi hilo nakataa, nimesoma nao toka Enzi za Moshi Sec. miaka ya 1978 hawa jamaa nilikuwa napelekwa kwao mamndeni na napokelewa vzr tunakula na kwa raha sana! nimekuwa bado mshirika wa wengi huku mwanza sana! wao story zao kila wakati ni maisha ila za wengi wetu ni tofauti kdg! tubadilike.kuna ukweli ila hao unaowapogia debe ni wabaguzi wakubwa na wabinafsi..
Kwanza habari ya mjini bongo ni Wakinga na WahindiWanaweza wasiwafikie Wayahudi kimaendeleo lakini ukilinganisha mafanikio yao na watu wa sehemu nyingine unaona wanakitu cha tofauti.Mimi nimejaribu kufanya kautafiti kadogo tu na nimeona hilo
Mbona povu sanaKwanza hawakaribiani na wayahudi kimaendeleo wala katika kuyachagiza wala katika kutumia maarifa na pili wachagga wa sasa si wale wa kipindi cha kina mangi.
Ni upuuzi zaidi kuamua kujifananisha na (kuwatukuza) wengine badala ya kujifunza toka kwao ili uwe bora na ikibidi hata zaidi yao.
Huenda wewe ni mmoja wa wale wanaoweka bendera za Israel kwenye maeneo yao hasa magari mkijua mnabarikiwa kumbe ujinga tu.
Amka changamka na funguka
Jamaa anazingua kutafutia kiki za kiboya wachaggaMbona povu sana
Asante nitafanya utafitiNaona ni watu waliobarikiwa kwa namna ya tofauti..ukifanya utafiti wako mdogo utaona sehemu ambayo wapo hawa watu inabarikiwa sana na kustawi..hata awepo mmoja we chunguza kunatofauti au mchango wa tofauti wanafanya au wanaleta
Kitu kimoja ambacho watu hawafahamu, waisrael ni wabaguzi wakubwaNi kweli wa-ISRAEL wamefanikiwa kweli, ila huoni kweli DHULUMA wanayo wafanyia WATU WA PALESTINA....!? Ama unaongelea MAENDELEO, ambayo yanaweza kuja tu pasipo KUZINGATIA haki na msingi wa ENEO husika...!!? Hii ni sawa na kumshabikia MCHIMBA MADINI ambaye baada ya....hukuachia Mashimo uje ufukie MWENYEWE.
Kwa nini hao wa-ISRAEL (Wachaga) usiwafananishe walau na MAKABURU, wale ma-Boas wa Afrika ya Kusini...maana kwa namna moja waliweza kuitwaa NCHI kutoka mikononi mwa WAZAWA (Kwa Mabavu) ila baada ya kuiongoza, wakaweka mifumo mizuri, KIJAMII na KIUCHUMI achilia mbali ki-USALAMA maana hakuna mtu asiejua leo hii kuwa AFRIKA YA KUSINI, ni miongoni mwa nchi chache za Afrika zinazo miliki silaha za BOMU LA NYUKILIA.
Tazama BUSARA waliyotumia hawa Makaburu, baada ya kuwa wameridhishwa na hatua za KIMAENDELEO waliyo wapatia wana wa Afrika ya Kusini, mwishoni wanawapatia Uhuru wao na kuacha wakijiongoza.
Wana wa ISRAEL ni wabinafsi kama WACHAGA.....nadhani ilikuwa sahihi ulipo wafananisha.....
wewe ni mpumbavu kuliko watz wote. hao ndio walioishikilia TRA miaka yote na hawajatufikisha popote. unahitaji msaada mkubwa sana wa kiroho.Wadau:
Nianze bandiko langu hili kwa kusema kwamba mimi sio mbaguzi wa rangi, kabila,dini au ukanda.Ninauchukia ubaguzi na ninamchukia mtu mbaguzi.Mimi ni Mtanzania mzalendo ninaipenda nchi yangu na serikali yake.
Ila ninawiwa kutoa ushauri wangu wa kiroho ambao wengi mnaweza kuutafsiri kama wa kibaguzi lakini sio na unaukweli mkubwa ndani yake.
Ushauri wangu kwa mkuu wa kaya yetu
Ninakushauri mkuu kama unataka kufanikiwa sana kiuchumi na kisiasa uwashirikishe katika serikali yako kuanzia ngazi ya uwaziri na nyanja mbalimbali za uongozi na ushauri katika serikali yako watu kutoka miteremko ya mlima Kilimanjaro
Hawa ni watu wanaofanya kazi kwa bidii na wanajua maendeleo na uchumi ni nini..
Ukifanya utafiti wa haraka kuanzia ngazi ya familia na sehemu mbalimbali ambapo hawa watu wamepewa nafasi ya kuongoza utaona zimefanikiwa sana na utapata mantinki ya ushauri huu.
Nathubutu kusema hawa ni watu waliobarikiwa sana kama Wana wa Israeli kutoka mashariki ya mbali ndio maana ninawaita 'Waisraeli wa Tanzania
Huu ni ushauri wa kiroho zaidi na pale utakapoona vema kuufanyia kazi ushauri huu basi utaona uongozi wako utakavyoshamiri na kufanikiwa sana.
Wasalaam
Wako katika Ujenzi wa Taifa.
Hao hao ndo walitaka kumchagua lowassa Kisa anatokea Kaskazini bila kujali uwezo wake.Wadau:

Naona unawaza kama umesinzia........Ukiamka pitia tena uzi wako ndo uuleteWanaweza kuwa na mapungufu fulani fulani mkuu kama binadamu lakini kuna ukweli usiofichika kuhusu uwezo wa hawa watu na baraka zinazoambatana nao.fanyia kazi hili unaweza kujifunza kitu..fuatilia hata wasichana wao ambao wameolewa na watu kutoka sehemu nyingine uone familia zao na watoto wao zilvyobarkiwa