Jay One
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 18,535
- 20,710
niambie kwanini tafadhali???
Hao watu weziiiii sanaaa kwani hujui..?
niambie kwanini tafadhali???
Kila.mtu na talanta yake. Wangosha na yao wahaya na yao,wakuria na magwanda , wakinakibajaji na yao n.k. Hawa wanapenda mageuzi ndiyo sababu wanampenda MaguHuo unaweza kuwa upuuzi kweli, totally biased na kuamini katika kuona kuliko kutafakari mambo! Au tuite kukosa maarifa?
Una data we mpuuzi. Tuletee data toka magereza, pamoja na mm si mshabiki lakini nametambua weee ni kidudeHao watu weziiiii sanaaa kwani hujui..?
Hilo ni mojawapo ya mapungufu yao ila wapo wengi ambao sio wezi..kila jamii inawatu wenye hulka na tabia mbalimbali ila hilo haliwaondelei ile talanta waliyo nayo na baraka zinazoambatana na vizazi vyao.Hao watu weziiiii sanaaa kwani hujui..?
Kaongozeni kwenu kwenye vijiji vyenu wabaguzi tu.Wadau:
Nianze bandiko langu hili kwa kusema kwamba mimi sio mbaguzi wa rangi, kabila,dini au ukanda.Ninauchukia ubaguzi na ninamchukia mtu mbaguzi.Mimi ni Mtanzania mzalendo ninaipenda nchi yangu na serikali yake.
Ila ninawiwa kutoa ushauri wangu wa kiroho ambao wengi mnaweza kuutafsiri kama wa kibaguzi lakini sio na unaukweli mkubwa ndani yake.
Ushauri wangu kwa mkuu wa kaya yetu
Ninakushauri mkuu kama unataka kufanikiwa sana kiuchumi na kisiasa uwashirikishe katika serikali yako kuanzia ngazi ya uwaziri na nyanja mbalimbali za uongozi na ushauri katika serikali yako watu kutoka miteremko ya mlima Kilimanjaro
Hawa ni watu wanaofanya kazi kwa bidii na wanajua maendeleo na uchumi ni nini..
Ukifanya utafiti wa haraka kuanzia ngazi ya familia na sehemu mbalimbali ambapo hawa watu wamepewa nafasi ya kuongoza utaona zimefanikiwa sana na utapata mantinki ya ushauri huu.
Nathubutu kusema hawa ni watu waliobarikiwa sana kama Wana wa Israeli kutoka mashariki ya mbali ndio maana ninawaita 'Waisraeli wa Tanzania
Huu ni ushauri wa kiroho zaidi na pale utakapoona vema kuufanyia kazi ushauri huu basi utaona uongozi wako utakavyoshamiri na kufanikiwa sana.
Wasalaam
Wako katika Ujenzi wa Taifa.
Define ubaguzi ni nini mkuuKaongozeni kwenu kwenye vijiji vyenu wabaguzi tu.
Kweli kabisa mkuu,kule muhimbili wamejaa pale udsm ndio usiseme hadi wanakera aiseeHao watu weziiiii sanaaa kwani hujui..?
Kweli kabisa mkuu,kule muhimbili wamejaa pale udsm ndio usiseme hadi wanakeraHao watu weziiiii sanaaa kwani hujui..?
Kama wanaweza biashara na mtu yoyote na mahali popote mpaka kwenye mipaka ya kijiji chenu, huo ubinafsi na ubaguzi unatoka wapi?kuna ukweli ila hao unaowapogia debe ni wabaguzi wakubwa na wabinafsi..
Kashfa nyingi za kifisadi epa,iptl, dowans, escrow wapo watu wakabila mengine, kama wapo waisrael naomba unitajie?Hao watu weziiiii sanaaa kwani hujui..?
Chuki binafsi kwenu hakuna maendeleo, wachagga wanamiliki mpaka ardhi ya kijijini kwenu, baki na umaskini wakoKaongozeni kwenu kwenye vijiji vyenu wabaguzi tu.
Wachagga ni wachapakazi sana, wapo hapo udsm na muhimbili kwa ajili ya kufanya kazi, wewe fanya kazi kama wao, acha kulalama,Kweli kabisa mkuu,kule muhimbili wamejaa pale udsm ndio usiseme hadi wanakera aisee
Kama ungelengeshwa na mtu wa kabila lingine usingekuja hapa kulalamika, lakini maadamu aliyekutenda ni mchagga basi its big deal,acha upuuzi wak, wachaga ni watu wanaojali pesa kuliko ata roho ya mtu, kna rafiki yang wa karibu tu mchaga alishawah kuniuza (kunilengesha) ili nishikwe kisa pesa tu bora angeniambia ningempa tu free,kuliko kuniuza,alaf et sijui waisrael ,acha ujinga mkuu
sijawah salitiwa na rafk yang yyte wa karbu isipokuwa uyu tu na siku zote huwa akiona tu pesa unamuona kabisa anachanganyikiwa, ndio wachaga waliovyo, ni watu wa ajabu tang kuumbwa kwa mising ya dunia kweny swala la hela, najua hutoamini mpk siku likutokee, sio watu hao ni wanyamaKama ungelengeshwa na mtu wa kabila lingine usingekuja hapa kulalamika, lakini maadamu aliyekutenda ni mchagga basi its big deal,
Grow up,
Hiyo ni kweli kabisaChuki binafsi kwenu hakuna maendeleo, wachagga wanamiliki mpaka ardhi ya kijijini kwenu, baki na umaskini wako