mzeemitomingi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2014
- 267
- 74
pakalolo
Ndugu ,, tofauti yenu na Wakristo ni kwamba.. Nyinyi mkitendwa kitu mnapelekea kuwa ni serikali, na pili ni kwamba mnaamini mna hasira hata kumzidi Mungu so mnalipiza kisasi na ni lazima kwa namna yoyote. Je, mna uhakika gani kwamba Mungu ameshindwa kulipiza kisasi yeye mwenyewe?
Nyie mnajipandisha mpaka kwenye kiti cha Mungu cha hukumu ndo maana mnajijustify kuwa watoa hukumu... Wakristo tunaamini mtoa hukumu ni mmoja tu (Muumba) aishiye milele na hashindwi kuhukumu saa yoyote apendapo.. Maana kumbuka Mungu hatawaliwi na muda so sisi hata mtu apigwe bomu Mungu atajilipizia kisasi mwenyewe hata kama tukilipa hakitambuliki kwa Mungu zaidi ya kujichumia dhambi.
Baada ya kujiendekeza kulipa visasi sasa hata shetani ameua kuji-capitalize kwenye tabia hiyo. So walipa visasi mara nyingi wanakuwa wameingiwa na pepo wachafu ndo maana tunashuhudia unyama mara nyingi. Mbona kama ingekuwa ni ishu ya kufaiti, Yesu asingekufa basi Chunguza hayo ugunduwe japo kugundua ni neema..

Last edited by a moderator: